Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMBA AFUNGA SEMINA ELEKEZI YA VIONGOZI WA CHAMA NA JUMUIYA ZAKE NGAZI YA...

Hii ndivyo taswira ya uwanja wa ndege wa Mwanza na mapokezi ya Naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia, mhe. January Makamba alivyopokelewa. Kisha akakutana na Mjumbe wa baraza la wazazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI TAMASHA LA FILAMU GRAND MALT LAWAKUNA WAKAZI WA MWANZA

Wasanii Raymond Kigosi na Steven nyerere wakiwafurahisha washabiki wao kwenye uzinduzi wa Tamasha la filamu la Grandmalt Tanzania Open Fillim Festival jijini Mwanza ambalo liliwashirikisha wasanii wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA RAHA ZA JANA NA LEO LAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Mratibu wa Tamasha la RAHA ZA JANA NA LEO Bw.Kahabi Ng'wendesha akilitambulisha rasmi Tamasha hilo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar katika hoteli ya Chichi iliyopo manispaa ya kinondoni jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA KUTUA MWANZA IJUMAA HII (05/07/2013) KUFANYA ZIARA YA MICHEZO KANDA YA...

John Kadutu.NA ALBERT G. SENGO: MWANZAMabingwa wa soka wa Tanzania bara Dar es salaam Young African ijumaa hii ya terehe 5 july 2013, wanataraji kushuka mikoa ya kanda ya ziwa kulionyesha Kombe la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU YA MAAFA YATOLEWA KWA WADAU WA KAMATI MBALIMBALI ZA ULINZI NA USALAMA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AKILI MATOPEeee....!!?

Haijalishi unarasilimali kiasi gani, kama hujui jinsi ya kuzitumia, siku zote hazitokutosha.

View Article

"KWAKO MLINZI KWETU NYAMA"

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RED CAPET YA MISS LAKE ZONE 2013

ColoursUtaifa zaidi.DadazGentleStylish.Protocal Good.Chick as Gaga.Yeah.Cinderella.Talk. Wow.Junk Yunk.Ladies.Flowers.Supa dupaz.PICHA KWA HISANI YA TROPICAL MEDIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANROAD YACHOMA MABANDA YA WAFANYABIASHARA WAKAIDI MWANZA

TANROAD mkoa wa Mwanza inaendesha zoezi la kuwaondosha wafanyabiashara ndogondogo waliokiuka utaratibu uliowekwa wa kuwataka kutofanya biashara zao kandokando mwa barabara za Mwanza - Musoma na Mwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOROGORO YAISHINDILIA TEMEKE 5-2 MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS

Timu za Airtel Rising Stars zikiingia kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam tayari kwa ufunguzi rasmi wa ARS ngazi ya Taifa jana Jumanne Julai 2, 2013..Mkurugenzi wa Mawasiliano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRAND NEW SONG: MO THAN LUV by METTY

Kuwa wa kwanza kusikiliza wimbo mpya toka kwa Metty a.k.a Magese ambao umetoka leo hii. "Since 1998 niko kwa hili gem nimerudi kwa miguu minne"  #hi wave inadownlika tu hapo chinienter-tz Unique shared...

View Article

HABARI ZA HIVI PUNDE: RAIS MORSI WA MISRI AONDOLEWA MADARAKANI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MITINDO YA MIKAO NA MASTYLE ILE NKABAAaaaa!!!

'Dabliyu thing' (W) ya kundi la Bombeso.Slide ya Bombeso.Hapo vipi na K mgeuko?Yep....PeaceNi kundi zima la Bombeso moja wa washindi wa shindano la kwanza la Dance la Fiesta ndani ya tamasha kubwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA MKUTANO WA 10 WA WADAU WA SEKTA NDOGO YA ZAO LA PAMBA

Waziri mkuu Mizengo Pinda (katikati), wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba Dr. Festus Limbu (MB), Naibu waziri wa Chakula na Ushirika Adam Malima (MB) na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJIO WA LOWASSA LEO WATIKISA MWANZA KWA MAPOKEZI

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Baraka Kunisaga (DC. Nyamagana) akimpokea Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa (MB-Monduli) alipowasili leo uwanja wa ndege wa Mwanza.Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza (RAS)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AWATAKA WAFANYABIASHARA WAKUBWA KUWAWEZESHA MITAJI WAMACHINGA ILI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA NA KCC YA UGANDA KUONYESHANA UNDAVA LEO JUMAMOSI UWANJA WA CCM KIRUMBA

Mabingwa wa soka wa Tanzania bara Dar es salaam Young African tayari wamekwishaingia jijini Mwanza na leo wanataraji kushuka dimba la CCM Kirumba kuvaana na KCC ya Uganda katika mechi ya kirafiki ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO YANGA 1 KCC1, KURUDIANA KESHO NDANI YA UWANJA WA KAMBARAGE SHINYANGA

Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akikabidhiwa na wanachama wa Yanga Kombe la Ubingwa lililonyakuliwa na timu hiyokatika msimu wa 2012-2013 kama ishara ya kombe hilo kuingia jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO NI LEO MAMBO YA FILM NDANI YA NYAMAGANA

Wananchi waliofurika katika Tamasha la Filamu la Grand Malt linalofanyika katika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza wakifuatilia mambo yanavyoendelea.Kazi ipo Tamasha la filamu Grand Malt leo Na Mwandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA NA KCC WAVAMIA SHINYANGA TAYARI KWA MCHEZO WA LEO UWANJA WA CCM KAMBARAGE

Ni majembe ya Yanga kutoka kushoto ni Jerry Tegete, Nizar Khalfan na Didier Kavumbagu.. wanasema kuwa wamejiandaa vyema kwa mchezo wa marudiano hii leo dimba la CCM Kambarage Shinyanga.Karibia mkoani...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>