Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

93.7 JEMBE FM *PAMOJA SANA*

$
0
0
Kutoka kushoto ni msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni muigizaji wa kundi la Kanjanja Time Kalokola, Kala Jeremiah, G. Sengo, Snura na Kaparatay aka mmasai sharobaro, wakiwa katika studio za Jembe Fm Mwanza mara baada ya mahojiano kuelekea Tamasha kubwa la kuwaelimisha vijana kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura, ili kuweza kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu.
Tamasha hilo lenye jinia KURA DILI litakwenda kufanyika leo katika viwanja vya soka na mikutano Magomeni Kirumba jijini Mwanza.
*PAMOJA SANA*
Sikiliza 93.7 JEMBE FM MWANZA Popote pale ulimwenguni,.
Nenda kwenye play store yako ya simu ya mkononi, download kitufe cha Jembe Fm.
Sasa unaweza kushare nasi!!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>