93.7 JEMBE FM *PAMOJA SANA*
Kutoka kushoto ni msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni muigizaji wa kundi la Kanjanja Time Kalokola, Kala Jeremiah, G. Sengo, Snura na Kaparatay aka mmasai sharobaro, wakiwa katika studio za...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Regnald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilibrod Slaa kwenye uagaji wa...
View ArticleMKUTANO WA Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kukuza utalii WAFANYIKA LEO...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Ndugu Allan Kijazi akizungumza jambo,wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Wahariri wa Habari Tanzania,mapema leo asubuhi jijini Mwanza.Ndugu Kijazi alisema...
View ArticleAIRTEL FURSA.
Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakoawawezesha kuimarisha biashara zao.
View ArticleA HUMBLE TANZANIAN RECOGNISED BY H.M THE QUEEN
A HUMBLE TANZANIAN RECOGNISED BY H.M THE QUEEN:By Ayoub Mzee-LondonMeet Angela BenedictoMnagoza, a girl from a humble background in Tanzania, a former child domestic worker, who has achieved so...
View ArticleLG YATOA PUNGUZO KABAMBE LA BEI YA BIDHAA ZAKE KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI NA...
Wafanyakazi wa LG wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa friji mpya ya LG yenye milango pacha aina ya “Velvet Gardenia and Coral Irish” iliyozinduliwa kwa mara ya kwanza kabisa Tanzania...
View ArticleMEMBE ARUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA LEO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Rajabu Ruhavi baada ya kuwasili...
View ArticleEWURA YAFUNGUA OFISI MPYA MWANZA
MKUU wa wilaya ya Nyamagana mkoani |Mwanza Baraka Konisaga amesema kuwa kufunguliwa kwa ofisi za EWURA Kanda ya ziwa kutasaidia kukabiliana na changamoto zilizokuwepo katika utendaji na udhibiti kwa...
View ArticleSTARS KUWAFUATA UGANDA, ALHAMIS JULAI 2
Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inatarajiwa kuondoka nchini siku ya alhamis kuelekea nchini Uganda kwa ajili ya mchezo wa marudiano...
View ArticleMBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO...
Mbunge wa kuteuliwa,Mh James Mbatia akiwasili katika kijiji cha Kirua Vunjo Magharibi na kupokelewa na msaidizi wake Hamis Hamis kwa ajili ya zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga...
View ArticleSINA MARINGO - KHADJANITO
Kutoka muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania G.Sengo Blog inamtambulisha kwenu mwanadada Khadjanito na Single yake mpya Sina Maringo. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
View ArticleAIRTEL SMARTFONIKA YAMFIKIA MTANGAZAJI EPHRAIM KIBONDE WA CLOUDS TV
Ofisa Mauzo wa Airtel, Salma Juma akimuelekeza jambo Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Clouds, Ephraim Kibonde kabla ya kumsmartfonika simu ya kisasa mapema wiki hii katika duka la wazi la...
View ArticleNI MSIBA TENA JAMBO CONCEPTS (T) LTD, WACHAPISHAJI WA GAZETI LA JAMBO LEO
Na Dotto MwaibaleKAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHI FUTARI KWA WATOTO YATIMA KATIKA VITUO VITATU MKOANI DAR ES...
Meneja wa huduma kwa jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia) akiongea na wawakilishi wa vituo vitatu vya watoto yatima baada ya kukakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vya mfungo wa Ramadhani kwa...
View ArticleAIRTEL YATANGAZA OFA KABAMBE 'NUNUA AIRTEL HOME Wi-Fi NA UPATE NYINGINE BURE.
Ofisa uhusiano na Matukio wa Airtel, Bi Dangio Kaniki akionyesha kifaa cha HOME Wi-Fi wakati wa kutangaza ofa kabambe ya Sabasaba itakayo wawezesha watanzania kupata kifaa cha bure cha ziada pindi...
View Article"NATAMANI KUPATA VIPAJI VYA KIKE TOKA JIJINI MWANZA" ASEMA MADAM RITHA WA BSS.
Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita akizungumza na Jembe Fm 93.7 Mwanza.Ile team ya Majaji ya jukwaa la kusaka vipaji nchini Tanzania kupitia BSS (Bongo Star Search 2015)...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA TANO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla fupi ya Utoaji wa Tuzo na Kuwakirimu washindi wa Mashindano ya...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo...
View Article