Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

VIJANA WALIOACHA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA MWANZA WAJA NA OMBI KWA SERIKALI.

Vijana walioacha kutumia dawa za kulevya mkoani Mwanza waishauri serikali kuanzisha mtaala wa elimu utakao toa fursa kwa wanafunzi kujifunza mbinu za kupukana na athari za matumizi ya dawa hizo.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA OFA YA LUKU.

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (katikati) akiongea na waandishi wa Habari  leo katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe itakayowazawadia wateja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASAMBAZAJI WA FILAMU KUGOMA KULIPA KODI IFIKAPO 1/7/2015

Mwenyekiti wa chama cha wasambazaji wa Filam TAnzania 'TAFDA' Moses Mwanyilu kushoto akionesho moja ya filamu  kwa wahandishi wa habari katika ukumbi wa Idara Habari Maelezo Dar es salaa  awapo pichana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA ILIVYOMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA 20M/= KUFUTURISHA VITUO VYA WATOTO YATIMA NCHINI.

Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi akiongea na waandishiwa wa habari katika hafla ya makabidhiano ya hundi kwa Bakwata, kwa vituo mbalimbali vya watoto yatima hapa nchini vyenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINE ZA BVR ZAGEUKA BIASHARA JIJINI ARUSHA.

Kinamama wakifanyabiashara ya mama ntilie katika kituo cha kupiga kura chakata ya Sombetini ,vituo vya kujiandikisha vinakabiliwa na idadi kubwaya watu hali inayopelekea foleni ndefu na watu kukesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAYANJA KAMA VILE KAGERA SUGAR WAMEMPIGA TEKE CHURA, ATUA KUINOA COASTAL UNION

Kocha Mkuu mpya wa timu ya Coastal Union,Jackson Mayanja kushoto akisaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo kulia ni Katibu Mkuu wa Coastal Union,Kassim El Siagi,Na Mwandishi Wetu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA NA KUTOA WATOTO WA KIKE WA SHULE...

Dar es Salaam 26 Juni 2015 - Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard leo amekabidhi msaada pamoja na kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike katika shule ya msingi Msimbazi Mseto.Huu ukiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IJUMAA HII BAADA YA MITIHANI BASI TUKUTANE JEMBE BEACH MWANZA.

Huu ndiyo mpango mzima ijumaa hii mara baada ya kumaliza pepa.Taarifa zilizotoka mchana huu ndani ya kipindi cha Hit Zone na 93.7 Jembe Fm Mwanza zinasema kuwa, ijumaa hii ya tarehe 26 June 2015 kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA DAR ES SALAAM WAMDHAMINI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akionyesha fomu zilizojazwa na wanaCCM wa Mkoa wa Dar es Salaam zaidi ya 1,500 kwa ajili ya kumdhamini ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACACIA MINING ORGANISES MT KILIMANJARO CLIMB TO RAISE FUNDS FOR EDUCATION IN...

A TEAM of 21 Acacia staff, friends and family led by Chief Executive Officer, Brad Gordon, are embarking on the journey of a lifetime to reach Uhuru Peak; the summit of Mount Kilimanjaro, to raise...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AMALIZA MGOGORO WA WAFANYAKAZI WA UHURU PUBLICATIONS LTD

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto), akigana na wafanyakazi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL), inayochapicha magazeti ya Uhuru na Mzalendo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASIKINI MAMA HUYU KWA MAUMIVU ANAYOYAPATA AOMBA KUKATWA MGUU.

JAMII imeombwa kutoa msaada wa hali na mali kwa BI GRACE KAIZA mkazi wa Igoma jijini Mwanza ambaye ameomba mukatwa mguu wake kutokana na Saratani ( Kansa) katika mguu huo.Akizungumza na *JEMBE Habari*...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME NEC YAAHIRISHA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGO KILA KITU DILI...

Bongo kila kitu dili na kamwe usilalamike eti huna ajira,  

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA PEMBA HADI MWANZA NIA NI KUSAKA WADHAMINI.

Ni Dr. Balozi Mahiga (mbele) mwanachama wa CCM kutoka Pemba, aliyetangaza nia ya kugombea kiti cha urais akihitaji udhamini toka mikoa 15 nchini sasa ametinga jijini Mwanza kwaajili ya kuusaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IJUMAA YAANI LEO: BASI HUU NDIYO MZIGO WA JEMBE BEACH MWANZA.

******Leo ni Leo Daaaah Eh bana eeee....!!! Si kuna nyongeza pale kati bABAKe kutoka Serengeti... Hebu soma bANgo, kama we mjanja utagundua tu!!!******

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU), CHAMKABIDHI MLEZI WAO MKUU...

 Mlezi wa chama cha wafanyakazi madereva Tanzania (TADWU), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na madereva kabla ya kukabidhiwa rasimu ya maboresho ya maslahi ya madereva...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA MOSHI VIJIJINI WARUDISHA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE NA UDIWANI

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Moshi vijijini,Godlisen Maramia akipokea fomu kutoka kwa Deogratius Mushi ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini wakati aliporudisha katika ofisi za...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>