Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

LIPUMBA AJIUZURU CUF

$
0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba akionesha rasimu ya Katiba pendekezwa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ndiyo iliyosababisha kuungana na kuunda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam leo. PICHA NA AVILA KAKINGO.
HABARI zilizotufikia hivi sasa zinasema Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ameamua kujiuzulu wadhifa wake wa mwenyekiti katika chama hicho.

Katika moja ya sehemu ya kauli zake akihojiwa na waandishi wa habari Lipumba alisema "Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta"

Vuguvugu za kujiuzulu kwake zilianza juzi katika mitandao ya kijamii baada ya mwenyekiti huyo kutoonekana kwenye mkutano mkuu wa UKAWA walipompitisha Edward Lowassa kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye mbio za Urais 2015 na Juma Dudi Haji kama mgombea mwenza.

ZAIDI SIKILIZA JEMBE FM 93.7 MWANZA.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>