Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

WANAFUNZI 56 WA KIDATO CHA PILI NA CHA NNE SHULE YA SEKONDARI USHIROMBO...

Wanafunzi 56 wa kidato cha pili na cha nne wa shule ya sekondari Ushirombo mkoani Geita wabainika kusajiliwa kinyume cha taratibu na sheria.

View Article


CHADEMA YAMPA LIKIZO DKT. SLAA

 Baada ya kushindwa kupatikana kwa muafaka baina ya CHADEMA na Katibu wake Dr.Slaa na kupelekea chama hicho kumpatia likizo. BARAZA Kuu la Chadema limeridhia Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod...

View Article


MATOKEO KURA ZA MAONI JIMBO LA MOSHI MJINI YAMPA USHINDI DAVIS MOSHA.

Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAELEZEA MAFANIKIO YAKE NA SERIKALI YA...

Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB), Mhandisi Steven Mlote. Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Steven Mlote (kushoto), akizungumza katika mkutano na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEMBE FM YAZIDI KUNG'ARA NDANI YA VIWANJA VYA NANENANE NYAMHONGOLO MWANZA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JIMBO LA URAMBO LEO

 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Urambo.  (PICHA ZOTE  NA KHAMISI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASICHANA WATOANA JASHO AIRTEL RISING STARS

Mchezaji timu ya soka ya wasichana ya Ilala Fatuma Salumu (Kushoto) akichuana na mchezaji wa timu ya Simba Queens Mwanaidi Hamisi katika michuano ya Airtel Rising Stars kwenye kiwanja cha kumbukumbu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015 YOLANDA SHAYO AINGIZWA MITINI NA MUANDAJI

Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 Yolanda shayo.MUANDAAJI wa shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015,Jackline Chuwa adaiwa kuingia mitini na fedha za zawadi za warembo na malipo kwa watu aliofanya...

View Article


JOHN MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS NEC

Mgombea uraisi kupitia CCM Dr.John Mgufuli,achukua fomu ya kuwania uraisi NEC huku akihaidi kutatua matatizo ya wananchi. 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA...

Mgombea urais wa chama cha ADC,  Zanzibar, Hamad Rashid Hamad, akihutubia katika mkutano huo.Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU NANE NANE VIWANJA VYA NYAMONGOLO, ILEMELA JIJINI MWANZA

View Article

JESHI LA POLISI SIMIYU LANASA KILO 400 ZA BANGI.

Jeshi la polisi mkoani Simiyu lakamata magunia tisa na nusu ya bangi yenye uzito wa kilo 400,misokoto 653 na miche 21 iliyooteshwa.

View Article

HOFU CUF.

Hali ya sintofahamu na taharuki yawakumba wanachama na mashabiki wa CUF kufuatia taarifa zilizozagaa kuwa Prof. Lipumba anajihudhuru.

View Article


HAMA HAMA YAENDELEA

Aliyekua mwenyekiti wa halmashauri ya Ngorongoro atangaza kuhama CCM na kuelekea CHADEMA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIPUMBA AJIUZURU CUF

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba akionesha rasimu ya Katiba pendekezwa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ndiyo iliyosababisha kuungana na kuunda umoja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MORO KIDS BINGWA AIRTEL RISING STARS MOROGORO

Naodha wa timu ya Moro Kids Dissy Job akinyanyua kombe la ubingwa la Airtel Rising Stars baada ya kutawazwa mabingwa wa mkoa wa Morogoro. Timu ya Moro Kids waki pozi na kombe la ubingwa baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSD YAWAVUTA WANANCHI KATIKA BANDA LAO MAONYESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA...

Na Dotto MwaibaleWANANCHI wametakiwa kufika banda la Bohari ya Dawa (MSD), katika maonyesho ya Nanenane ili kujua kazi mbalimbali zinazofanywa na MSD hapa nchini.Mwito huo umetolewa na Meneja wa Bohari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SELEMANI RASHIDI MKAZI WA KITONGOJI CHA LUGONGONI (A) NGURUKA MKOA WA KIGOMA...

 Selemani Rashidi,  Namba msaada  kwa yeyote anisaidie niweze kufanyiwa matibabu kwa kinyama kilicho jitokeza kichwani mwangu toka nilipo zaliwa. Selemani Rashidi, anapoishi na mama yake mzazi Selemani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA WASANII WA FANI MBALIMBALI WAMUGA JK,WAMTANGAZA KUWA SHUJAA WA SANAA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City  katika hafla ya kuagwa kwake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAWADI MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015) HADHARANI.

Baadhi ya viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi jimbo la Vunjo akiwa katika hafla fupi ya kutangaza zawadi kwa washindi wa mashindano ya Mbatia Cup 2015.Mmoja wa Waratibu wa Mashindano ya Mbatia Cup 2015...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>