Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEMBE FM YAZIDI KUNAKSHI MAONESHO YA NANE NANE MWANZA KIMAWASILIANO.

Oxy Okeleky (kulia) akifanya mahojiano na mmoja wa wadau wajasiliamali wanaofanya shughuli ndani ya maonesho ya Nane nane ndani ya viwanja vya Nyamhongolo wilayani Ilemela jijini Mwanza.Ufugaji na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA UZINDUZI WA MFEREJI MPYA WA SUEZ...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Misri, Balozi Mohammed Hamza, wakati wakitoka kwenye Boti baada ya kuhudhuria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADC YAFANYA MKUTANO WA HADHARA KUWATAMBULISHA WAGOMBEA WA URAIS KUELEKEA...

 Mgombea urais wa Tanzania  kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC),  Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha kwa wananchi mgombea mwenza Said Miraj (kulia) na mgombea urais wa chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIGAE...

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia  baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya matumizi mbalimbaliNaibu waziri wa Viwanda na Biashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAUTAKA MGODI WA BULYANHULU KUWALIPA FIDIA WAATHIRIKA WA SUMU

Na Emmanuel MlelekwaKAHAMABaraza la hifadhi ya mazingira la Taifa NEMC limethibitisha kuwa mgodi wa uchimbaji madini wa ACACIA Bulyanhulu ulioko wilayani Kahama Mkoani Shinyanga umebainika kuwa na kosa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA APETA KURA ZA MAONI UDIWANI CHADEMA, SASA...

Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa William Bundala al-maarufu kwa jina la “kijukuu cha bibi” akiwa amebebwa juu na wakazi wa Ushetu.SHINYANGAMWANDISHI wa habari na mtangaaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60 MKOANI LINDI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Ndundu - Somanga yenye urefu wa kilomita 60, hafla hiyo imefanyika jana Agosti 7 2015...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JANET MBENE AKABIDHI VITANDA VYA KUJIFUNGULIA VYA THAMANI YA MILIONI 30 ILEJE.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akimkabidhi Vitanda vya Kujifungulia Katibu wa CCMwilaya ya Ileje kwa ajili ya Hospitali za wilaya hiyo.Mafundi wa Hospital wakiunganisha kitanda cha...

View Article


TANGAZO LA KAZI

Kampuniya NOFO ya jijini Dar es Salaam, inayojihusishanauchapishajinauuzajiwavitabuvyahadithizawatoto,inatangazanafasikumizakaziyaafisamasoko. Wenye sifa zifuatazo watume maombi kupitia baruapepe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIMEBAKI SIKU TATU USIKOSE KONGAMANO LA FURSA.

View Article

MSIKILIZE MWINGULU NCHEMBA AKIPANGA KIKOSI CHA USHINDI CHA CCM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA STARTIMES YA ZINDUA BUNDESLIGA

Mkurugenzi wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,  Leonard Thadeo akipiga mpira kuelekea golini kwa mlinda mlango,  Maulid Kitenge ambaye ni mtangazaji wa kituo cha redio cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANAYOJIRI VIUNGA VYA SIASA LOWASSA ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA URAIS KUPITIA...

Pilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani nchini humo, UKAWA,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAZI ZASIMAMA JIJINI DAR KUPISHA LOWASSA ACHUKUE FOMU YA KUWANIA URAIS

MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa amechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO...

Hapa ilikuwa ni mapema kabisa ambapo washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula msimu wa Nne wakiwa wanajikusanya kwa ajili ya kupewa mwongozo wa siku nzima.Baada ya washiriki wa Shindano la Mama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS MKOANI ARUSHA YAZINDULIWA RASMI.

Katibu tawala jiji la Arusha Ado Mapunda (RAS) akipiga mpira kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars jijini Arusha jana.Katibu tawala jiji la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NDIZO SABABU ZA KUSHUKA KWA THAMANI YA PAMBA YETU SOKO LA DUNIA.

Meneja wa kiwanda cha Bilchand Oil Mill, Mohamed Gupta akifafanua uchafuzi unaofanywa na baadhi ya wanunuzi na wakulima kwa kuchang’anya pamba, maji, mchanga na mbegu kwa lengo la kuongeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WINDHOCK BEER ILIPOKUTANISHA WADAU WAKE JIJINI MWANZA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIIO NA PICHA MITAA MBALIMBALI KITAANI KWETU.

 Umati wa watu uliojaa mtaani wakishuhudia bint mwenye matatizo ya akili Sinina Maliki akipigwa   na bint wa mitaa hiyo ya Katandala eneo la kibirizi Asha Kigwiza , Mkoani kigoma.   Sinina Maliki akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA NA HABARI ZA WASHINDI WA AIRTEL JIONGEZE NA MSHIKO PROMO.

Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (katikati) akiwasiliana na mmoja wa washindi wakati wa kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Airtel "Jiongeze na Mshiko" iliyofanyika jijini Dar es...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>