$ 0 0 KAHAMAMtoto mmoja mkazi wa kijiji cha Chapulwa kata ya Mwendakulima wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga amefariki dunia kwa kuangukiwa na ukuta wa nyumba kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. BOFYA PLAY KUSIKILIZA TUKIO.