Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAKANUSHA ORODHA FEKI YA WABUGE ILIYOZAGAA MITANDAONI.

NEC Yakanusha Orodha Feki Ya Wabunge Inayozagaa Katika Mitandao.IFUATAYO NDIYO ORODHA HALISI YA WABUNGE WA VITI MAALUM.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPAA WEMBA AFANYA MAAJABU KWENYE TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVALS 2015

Mwanamuziki nguli wa dansi kutoka DRC Congo, Papaa Wemba kushoto akiimba na kucheza sambamba na madansa wake jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la muzuki la Karibu Music Festival msimu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDELEA KUJIFUA

 Washiriki wa shindano la Bongo style kwa upande wa picha wakimsikiliza kwa makini mtaalam wao Sameer Kermalli(wa tatu kulia) akitoa maelekezo wakati wa mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki kwa upande wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO MAZINDE WILAYA YA KOROGWE

Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa pili kulia)) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa kampuni ya simu za mkononi Airtel Kata ya Mazinde wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. anayeshuhudia...

View Article

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, MAMA SAMIA AKABIDHIWA OFISI RASMI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amekabidhiwa rasmi ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal Ikulu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJASIRI WA WANASHERIA WASAIDIA KUPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI WA JINSIA SOKO...

 Katibu wa soko la Tabata Muslim lililopo Manispaa ya Ilala, John Nombo (kushoto),  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kupungua kwa vitendo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA STAR MEDIA TANZANIA LIMITED YASHINDA TUZO YA UBORA YA WQC

 Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na tuzo ya utoaji huduma bora waliyoipokea nchini Ufaransa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA, WHO WAENDESHA SEMINA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU HOTELI YA...

 Mratibu wa Magonjwa ya Mlipuko Mkoa wa Dar es Salaam, Vicktoria Bulla (kulia), akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa afya wakati akifungua semina ya siku moja ya ugonjwa wa kipindupindu Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MUHIMBILI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.“ Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU SEYA ATUA MAHAKAMA YA AFRIKA AWASILISHA HOJA TATU, ALIA NA SERIKALI...

Hatimaye mwanamuziki, Nguza Viking  maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wametua katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR)  Arusha.Wanamuziki hao wamekata rufaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF YATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI ZANZIBAR.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITENDO VYA UDHALILISHAJI NA UBAKAJI WATOTOTO WILAYA YA TEMEKE VYAONGEZEKA

 Mkuu wa Dawati la Jinsia katika Kituo cha Polisi Mkoa wa Kipolisi Chang'ombe, Thecla Kitajo. Mkuu wa Dawati la Jinsia katika Kituo cha Polisi Mkoa wa Kipolisi Chang'ombe, Thecla Kitajo (kulia),...

View Article

ASKARI AFUKUZWA KAZI KWA KUPOKEA RUSHWA.

Jeshi la polisi Mkoani Tanga linamshikiria aliyekuwa askari wa jeshi hilo kwa tuhuma za kushawishi na kupokea rushwa kutoka kwa dereva.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ICE PRINCE RELEASES “BOSS” MUSIC VIDEO SHOT IN NAIROBI & LAGOS

​East meets West as Nigerian artiste Ice Prince Zamani releases the music video of his single: BOSS, shot in Nairobi and Lagos. The video was directed by the acclaimed video director Mr. Moe Omusa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKOPO YA WANAFUNZI 40,836 tayari- HESLB

Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HESLB, Omega Ngole Kwa ufupiWaombaji wengine watakiwa kuwa watulivu wakati mchakato huo ukiendeleaBy Vicky Kimaro, MwananchiDar es Salaam. Bodi ya Mikopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MERU LOGISTICS KAMPUNI YA UHAKIKA YA KUSAFIRISHA MIZIGO KUTOKA UK KUJA TANZANIA

Karibu Meru Logistics kwa huduma nzuri, safi, zenye uhakika na haraka kutuma mizigo kutoka UK kwenda Tanzania.Wasiliana nasi pia kama unahitaji chochote kutoka UK kama vile magari, matractor, fridge,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AFARIKI KWA KUPONDWA NA KIFUSI KAHAMA.

KAHAMAMtoto mmoja mkazi wa kijiji cha Chapulwa kata ya Mwendakulima wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga amefariki dunia kwa kuangukiwa na ukuta wa nyumba kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA WALIMU (CWT), MKOA WA DAR ES SALAAM KINAIDAI SERIKALI SH.BILIONI 1.1

Amina KisengeNa Dotto MwaibaleWALIMU wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaidai Serikali jumla ya sh. Bilioni 1.1 za madai yao mbalimbali kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi 2015.Hayo yalielezwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABONDIA WA DAR WATAMBA KUWASAMBALATISHA WA MOROGORO

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Kaike Siraju katikati akimwinua mkono juu bondia Thomas Mashali wakati wa utambulisho wa mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika desemba 25 katika uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONDIA MICHAEL YOMBAYOMBA AZIKWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini BFT Wililo Lukelo akitoa salam za lambilambi kutoka kwa wadau wa mchezo wa masumbwi mbalimbali nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>