$ 0 0 TANESCO Yafukuza Kazi Watendaji 7Shirika la umeme nchini TANESCO limewafukuza kazi watendaji wake 7 kwa tuhuma za rushwa,wizi na malalamiko toka kwa wananchi.