Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live
↧

MRI na CIT SCAN VYAANZA KUFANYA KAZI MUHIMBILI

Hatimaye huduma za mashine za MRI na City Scan zilizokuwa zimesimama kwa muda katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zaanza kufanya kazi baada ya matengenezo yake kukamilika.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIPUMBA AFUNGUKA ALICHOTETA NA MAGUFULI IKULU.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Mhe. Lipumba afunguka alichoteta na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli pindi alipotembelea ikulu hivi karibuni na kusikika ndani ya kipindi cha KAZI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA YAFANYIKA SOKO LA...

 Mwenyekiti wa Soko la Temeke Sterio Amani Mtemi akiwatambulisha wageni waalikwa katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliyofanyika katika soko hilo Dar es Salaam leo asubuhi....

View Article

WATU 4 WA FAMILIA 1 WAUAWA KWA KUKATWA MAPANGA GEITA

Watu 4 wa familia moja wamuawa kwa kukatwa mapanga huku mmoja akijeruhiwa vibaya kwa kile kinachodaiwa kuwa ni imani za kishirikina.  

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA...

Picha inamuonesha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akimkabidhi  Katibu wa SHIVYAWATA Mkoa wa Mwanza Alfredy Kapole Rosheni zinazotumiwa na watu wenye ulemavu wa Ngozi Albino. Atley Kuni- Afisa...

View Article


RAIS MAGUFULI AONGEA NA VIONGOZI WA WAWAKILISHI WA UMOJA WA SEKTA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JANUARY MAKAMBA AFUNGUKA KUHUSU VIKATUNI VYA INSTAGRAM

Mara baada 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO YAZINDUA RIPOTI YA MAFANIKIO YA MRADI WA WAZAZI MATINEJA

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues akisoma hotuba mbele ya wageni waalikwa waliofika kwenye uzinduzi...

View Article


TANESCO KUVUNJWA ILI KULIPUNGUZIA MAJUKUMU.

Serikali ya Tanzania imesema italivunja shirika la umeme la TANESCO kwa lengo la kulipunguzia majukumu ifakapo mwaka 2020;

View Article


MBUNGE JIMBO LA ILEMELA MWANZA AWATAHADHARISHA JUU YA KIPINDUPINDU

Mbunge wa jimbo la Ilemela Mwanza Mhe. Angelina Mabula awataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa wa kipindupindu. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA 8 WA MAKONTENA 329 YALIYOPOTEA KIAINA BANDARINI WAFIKISHWA...

 Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, Tiagi Masamaki (katikati) na washitakiwa wenzake wakitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo mchana baada ya kusomewa mashitaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Olver...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA JEMBEKA CAMPAS JAM PART TWO.

Mmoja wa washiriki  wa shindano la mitindo katika Jembeka Campus akitamba ulingoni katika bonge moja la pati  lililofanyika jumamosi ya wiki iliyopita pale Jembe Beach resort Mwanza.Mkurugenzi wa Jembe...

View Article


HUU NDIYO UKWELI KUHUSU HALISI KIPINDUPINDU

DR. SEBASTIAN NDEGE AMBAYE NI  MKURUGENZI WA JEMBE MEDIA GROUP ANAFAFANUA KWA KINA KUHUSU HILO WAKATI AKIZUNGUMZA NA KIPINDI CHA KAZI NA NGOMA YA JEMBE FM MWANZA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RED AVENUE PARTY RELOADED DESEMBA 26, 2015

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DED BUSEGA ATANGAZA KUTUMBUA MAJIPU MADOGOMADOGO KWA WATUMISHI WAZEMBE.

DED wa Busega Khamis Yunah akisisitiza jambo kwa watumishi ambao awaonekani pichani.Na Shushu Joel,Busega.MKURUGENZI wa halamashaul ya wilaya ya Busega(DED) Khamis Yunah.amesema kuwa wakati Rais wa...

View Article

UCHAMBUZI WA MAGAZETI DEC 6

Rais Magufuli awapa hofu wapinzani,Hofu bandarini, Madudu mengine yaibuka,Siku 31 za Rais Magufuli; Fuatilia uchambuzi wa magazeti.Simba yasajili watatu, Manchester city yazama, Arsenal yapeta, Straika...

View Article


HOTUBA NZIMA YA RAIS MAGUFULI BUNGENI.

Hotuba ya kwanza ya Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli aliyoitoa mjini Dodoma wakati wa kufungua bunge la 11 tarehe 20/11/2015 .

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI LATANGAZA KIFO CHA FATHER CHRISTMASS

Image copyrightGettyImage captionFather Christmas alifariki akiwa na umri wa miaka 227, kwa mujibu wa tangazo gazeti hiloGazeti moja nchini Norway limelazimika kuomba radhi baada ya kuchapisha tangazo...

View Article

TANESCO YAFUKUZA KAZI WATENDAJI 7

TANESCO Yafukuza Kazi Watendaji 7Shirika la umeme nchini TANESCO limewafukuza kazi watendaji wake 7 kwa tuhuma za rushwa,wizi na malalamiko toka kwa wananchi.

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>