Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA AMANA BANK AFUNGA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA TAWI LA MWANZA.

Mkurugenzi wa benki ya Amana  Dk Muhsin Masoud  akimkabidhi  zawadi mteja Yasmin Ismail Mussa kwa utunzaji bora wa fedha katika tawi la Mwanza.Benki ya Amana leo hii imehitimisha wiki ya huduma kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI YA ABIRIA PAZA SAUTI YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mkuu wa Kitengo cha Elimu kwa Umma wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Abel Swai (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA KILIMO N AUFUGAJI KUJENGWA WILAYANI KIBAHA KUUNGA JUHUDI ZA...

NA VICTOR MASANGU,KIBAHAKATIKA kuunga mkono juhudi za serikali katika kukuza sekta ya kilimo Chama cha wakinamama wataalamu katika sekta za kilimo mifugo  pamoja na mazingira Tanzania (TAWLAE)...

View Article

Rais Magufuli Amsimamisha Kazi Kamishina Mkuu wa TRA

Rasi Magufuli amsimamisha kazi kamishina mkuu wa TRA na kutaka uchunguzi juu yake kufuatia upotevu wa makontena bandarini.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA...

PICHA ZAIDI  NA HABARI KUWAJIA HIVI PUNDE.....!!!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DJ DELLA CREAM KUTOKA KENYA KESHATUA MWANZA KWAAJILI YA JEMBEKA CAMPUS JAM...

inaendelea

View Article

NYUMBA YABOMOLEWA KUPISHA BOMBA LA MAJI..

Mamlaka ya maji safi na maji taka DAWASCO imebomoa nyumba iliyokuwa ikizuia miundombinu ya maji katika eneo la Salasala.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA ILALA MSSA ZUNGU ATEKELEZA AHADI ALIYOITOWA WAKATI WA...

Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) (mwenye kofia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Ferry Beach Boys, Selemani Ally 'Kaseja' nyaraka za  Pikipiki hiyo Dar es Salaam leo ambayo ilikuwa ni moja ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA UPOTEVU WA MAKONTENA AZAM ICD TOKA SSB Group of Companies

Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa kampuni ya Bakhresa inahusika na upotevu wa Makontena 349 yaliyoripotiwa hivi karibuni kuwa yametolewa bandarini bila kulipiwa ushuru....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA KAZI TU” YAWAWEKA SAWA WAFANYAKAZI WA DAWASCO.

 Ofisa Mtendaji wa Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasco), Mhandisi Cyprian Luhemeja, akizungumza katika mkutano na wafanyakazi uliofanyika hivi karibuni Makao Makuu ya Dawasco jijini Dar...

View Article

KIFUSI CHAUA MMOJA LINDI

Mkazi mmoja mkoani Lindi afariki dunia baada ya kuangukiwa na udongo wakati akichimba mchanga na kupelekea mkuu wa wilaya hiyo kusitisha shughuli za uchimbaji.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI, WAZIRI MKUU MAJALIWA, WAMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS, MHE....

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARA YAONDOSHWA MICHUANO YA CECAFA 2015

Michezo ya robo fainali ya michuano ya kombe la Cecafa Chalenji Cup imetimua vumbi hii leo huko Adis Ababa Ethiopia ikishuhudia timu ya Tanzania bara The Kilimanjaro stars ikiyaaga mashindano...

View Article


MAKONTENA 9 YAKAMATWA NA TRA IKISHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI DAR.

Mamlaka ya mapato nchini TRA kwa kushirikiana na jeshi la polisi linashikilia makontena 9 ya mizigo yanayotiliwa mashaka.

View Article

BASI LA TAKBIR LAUA 12 NA MAJERUHI 18.

Watu 12 wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa baada ya Basi kampuni ya Takbir toka Dar kwenda Dar kugonga ubavu wa Roli la Mafuta. 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITAMBI NOMA YA TAA UBIGWA WA SOKA KATIKA TAMASHA LA KWANZA LA AMANI NA UTALII

 Mwenyekiti wa kamati ya amani mkoa wa Arusha(APET) Petro Ahhamakimkabidhi kikombe cha ushindi  wa bonanza la amani na utalii mkoa waArusha,nahodha wa timu ya Kitambi Noma, James Lugangira Wanamichezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MODEWJI FOUNDATION YASAIDIA UJENZI WA MADARASA KITUO CHA MAFUNZO CHA FURAHINI.

Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo cha Furahini kilichopo Kisangara wilayani Mwanga,Isack Msuya akimuongoza Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation iliyoanzishwa na mfanyabiashara Mohamed Dewji,Francesca...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWANGA PEPETA KUWASHA MOTO UZINDUZI WA KIBAHA CARNAVAL IJUMAAA

Mwimbaji ally choki kushoto akiwa na Luiza Mbutu katika moja ya shoo zao, bendi hiyo inatarajiwa kufanya nyoo kabambe katia uzinduzi wa eneo jipya la burudani la Kibaha Carnival siku ya ijumaa desemba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII AFUNGUA DUKA LA DAWA LA MSD...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (katikati), akikata utepe kuashiria ufunguaji rasmi wa duka la dawa la Bohari ya Dawa (MSD), lililofunguliwa Hospatali ya Taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA ILIVYOKUWA JEMBEKA CAMPUS JAM 2015 NOV 28 PART ONE

ITAENDENDELEA .

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>