Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

UJERUMANI YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA NDEGE.

Serikali ya Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa ndege mbili maalum kwa ajili ya kufanya doria katika mbuga mbalimbali ili kusaidia juhudi za kudhibiti ujangili. 

View Article


VITANDA 120 VYAFUNGWA MHIMBILI.

Imeelezwa kwamba vitanda 120 kati ya 300 vimefungwa katika taasisi ya MOI ya hospitali ya Mhimbili ili kuwezesha wagonjwa kupata huduma hiyo.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ATEMBELEA WAHANGA WA MACHIMBO YA NYANGARATA

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowasa akizungumza na mmoja wa waathirika waliokuwa wamefukiwa na vifusi katika machimbo ya Nyangalata wilayani Kahama, alipokwenda kuwajulia hali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE KESHO MAHAKAMA ITAAMUA NINI JUU YA KESI YA KUAGWA MWILI WA MWENYEKITI...

KESIya malalamiko dhidi ya pingamizi la Serikali mkoani Mwanza iliyofunguliwa na mzazi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani GEITA alphonce Mawazo inaendelea tena hapo kesho ambapo maamuzi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHAZ ZA MSHINDI WA AIRTEL TRACE AKIWA NCHINI MAREKANI.

Familia ya Mayunga ikiwa katika viwanja vya Airport vya mwalimu Julius Kambarage Nyerere kabla ya mayunga kusafiki kwenda MarekaniNalimi Mayunga akiangalia muda wa kutua nchini Marekani wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA MAOFISA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,kuzingumza na watendaji wa Afya na Mazingira.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akifurahia jambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHAUZI CLASSIC KUZINDUA ALBAM YA “SURA SURAMBI” NOVEMBA 26 MANGO GARDEN

…East African Melody, Cassim Mganga ndani ya nyumbaHatimayealbamu ya “Sura Surambi” iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa taarab, inazinduliwa Alhamisi hii Novemba 26.Albam hiyo kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CHUMBUNI APATA MAPOKEZI MAKUBWA NYUMBANI.

Mhe Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akitabasamu wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Bungeni Dodoma.na kupokelewa na Wananchi wa Jimbo lake. Mhe Mbunge wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZINGA WA LEO NI HATARI.

View Article


RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA CHAMA CHA MADEREVA

Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa chama cha madereva nchini kufuatia kifo cha aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA MAWAZO YAPIGWA DANADANA NI KESHO TENA.

Mahakama Kuu, Kanda ya Mwanza hii leo imeahirisha tena shauri la kesi kutaka kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita jijini Mwanza Alphonce Mawazo.Leo kesi hiyo imesikilizwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGI WAJITOKEZA KATIKA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI...

Maelfu wajitokeza katika maandamano ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, hapa wakiendelea na matembezi ya kupinga ukatili wa Kijinsia.Maelfu wajitokeza katika maandamano ya siku 16 za kupinga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKIELIMU YAZINDUA JOPO LA WASHAURI MABINGWA

Timu ya Menejimenti ya HakiElimu ikiwa katika picha na Mwenyekiti wa Bodi ya HakiElimu na Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa jopo la washauri bingwaWafanyakazi wa Shirika la HakiElimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU KAHAMA WANASWA NA MTIHANI.

Na Emmanuel Mlelekwa, Novemba 25,2015 KAHAMA Jeshila polisi wilayani Kahama Mkoani Shinyanga linawashikilia walimu watatu wa shule binafsi ya sekondari Andaleck kwa kosa la kukutwa na mtihani wa...

View Article

S MIAH ft YOUNG RAFA MANENGO & AMP, ALLY KIJO - AMSHA POPO

S Miah ft Young Rafa Manengo & Ally Kijo - Amsha Popo (Official Music Video)Ni safari nyingine hii katika game ya muziki hapa Bongo, and this time toka Rock City ni video mpya kutoka kwa Smiah...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO YADHAMINI ONESHO LA MWANAMUZIKI MOUSSA DIALLO KUTOKA NCHINI MALI...

Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya Tigo, John Wanyanja (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu kampuni hiyo kudhamini onesho la mwanamuziki Mousa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO NA MAZISHI YA KAMANDA MAWAZO.

Mahakamakuu Kanda ya Mwanza imeamuru mwili wa marehemu Alphonce Mawazo uagwe jijini Mwanza, hukumuimetoka hii leo majira ya saa 16:15.KESI ya msingi imemelizika kwa Mahakama hiyo kupitia Jaji Lameck...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA KUBWA LA BURUDANI LA INSTAGRAM PARTY KUFANYIKA JUMAMOSI VIWANJA VYA...

 Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba. Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la...

View Article

MWILI WA MAWAZO SASA KUAGWA RASMI KESHO JUMAMOSI MWANZA

RATIBA IMEBADIRIKA KUWAJIA HIVI PUNDE HAPA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AVAMIA BANDARI LEO, AAMRISHA KUKAMATWA KWA MAAFISA KIBAO...

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh....

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>