Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NI Dkt TULIA ACKSON...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKOSE KUANGALIA KIPINDI CHAKO PENDWA CHA DANGA CHEE NDAKI YA CHANNEL 10...

View Article


MACHIMBO YA NYANGARATA YAFUNGWA KWA MUDA

Na Emmanuel Mlelekwa,Novemba 19,2015.KAHAMAWizara ya Nishati na madini imesitisha shughuli za uchimbaji katika machimbo ya Nyangarata yaliyopo wilayani kahama hadi hapo serikali itakaporuhusu shughuli...

View Article

JAMBAZI LAUAWA: Singida

Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi ameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Singida wakati akijaribu kumpora polisi silaha;

View Article

MAGAZETI NOV 20 TBC

Magazeti Nov 20 TBCMh.Majaliwa asema hakutegemea, aahidi kutumikia wote bila ubaguzi. Dk.Tulia achaguliwa kuwa Naibu Spika Bunge la 11.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMESON YAANDAA PRE-PART GEORGE AND DRAGON DAR kuelekea Jameson Live Party...

Mshindi mmoja kujishindia tiketi ya watu wawili kwenda Kenya kwenye party ya Jameson itakayotumbuizwa na B.O.BJameson inaandaa pre-party itakayofanyika tarehe 21 ya mwezi huu katika bar ya George and...

View Article

WAZIRI MKUU AAPISHWA RASMI LEO MJINI DODOMA.

Mhe kassim majaliwa ala kiapo rasmi newHatimaye Mhe Kassim Majaliwa ala kiapo cha uaminifu na kuahidi kuhifadhi na kulinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA KUAPISHWA WAZIRI MKUU WA AWAMU YA TANO VIWANJA VYA IKULU NDOGO...

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tano, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU ANOGESHA MAHAFALI YA 10 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA...

Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni...

View Article


RAIS MAGUFULI AZINDUA BUNGE KWA HOTUBA YENYE HISIA: ARUDIA AHADI ALIZOZITOA...

VIPAUMBELE NILIVYONASA BUNGENI DOM:- *Dawa za kulevya ni janga linaloathiri vijana wengi ameahidi kushughulikia mtandao huo na wakubwa wanao husika.*Mapambano ya rushwa na ufisadi ameahidi kwa wananchi...

View Article

MVUTANO WA KISIASA ZANZIBAR, ZITTO AWATUSI UKAWA, RAIS MAGUFULI AFYEKA 50...

Mvutano wa kisiasa Zanzibar,  Zitto awatusi Ukawa, Raisi Magufuli afyeka 50 msafara mkutano wa Madola. Tazama uchambuzi wa Magazeti.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PANONE FC YASONGA MBELE LIGI YA SHIRIKISHO YA AZAM,YAIFUNGA POLISI DAR ES...

Wachezaji wa timu ya soka ya Panone fc wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi ya shirikisho inayodhaminiwana Azam.Wachezaji wa timu ya Polisi Dar wakipasha misuli moto kabla ya kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA KUMBUKUMBU BAADA YA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUZINDUA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFISADI WAMWONDOSHA WAZIRI MADARAKANI KENYA.

WAZIRI mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.Bi Anne Waiguru, ambaye amekuwa Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA NYAMAGANA, MABULA ATAKA UONGOZI KUSITISHA ZOEZI LA...

Stanslaus Mabula DODOMA.MBUNGEwa Jimbo la Myamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula (CCM) ameutaka uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kusitisha tamko na zoezi la kuwaondoa na kufanya shughuli zao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERA YA HAPA KAZI TU YAANZA KUFANYA KAZI FEDHA MISOSI YA SHEREHE YA BUNGE...

 Magari ya Bohari ya Dawa (MSD), yakishusha vifaa tiba Taasisi ya Moi kufuatia agizo la Rais Dk.John Magufuli kulitaka Bunge kutumia sh.milioni 15 kwa ajili ya kujipongeza na fedha zilizobaki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIMA YA AFYA NHIF YAKANUSHA KUDAIWA NA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA

Na Mwandishi wetu,Dar es salaam Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini umekanusha kuwepo kwa madai yaliyotolewa na Hospital ya Rufaa  Mkoani Mbeya kuwa  wanaudai Mfuko jumla ya shilingi bilioni 2 na...

View Article


KATIBU MKUU CHAMA CHA MADEREVA YAENDAYO MIKOANI AFARIKI DUNIA KWA KUSADIKIWA...

Kifo cha katibu chama cha madereva Chagubikwa na UtataKatibu mkuu wa Chama cha Madereva yaendayo mikoani Rashid Saleh amefariki dunia kwa kusadikika Kula chakula chenye Sumu.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KANDA YA ZIWA.

Ulinzi umeimarishwa barabara inayoingia mahala penye ofisi za Chadema \mkoa wa Mwanza, jeshi la polisi limefunga barabara hiyo tangu majuzi.CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  LEO asubuhi...

View Article

MGOMBEA CCM AIBUKA MSHINDI JIMBO LA ULANGA.

Mgombea wa CCM Goodluck Mlinga ameibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo la Ulanga.MATOKEO ya uchaguzi jimbo la Ulanga. Isaya Maputa ACT kura 626,Mlinga Goodluck CCM kura...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>