CCM IRINGA YAPIGWA BUTWAA.
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa chajikuta njia panda na kukumbwa na sintofahamu baada ya kada wake kutimkia chadema na kupewa ubunge wa vitimaalum.
View ArticleTAMASHA LA KUMSHUKURU MUNGU SASA KUFANYIKA DESEMBA 25 DIAMOND JUBILEE
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akifafanua jambo kwa umakini mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki kuhusu maandalizi ya tamasha la...
View ArticleMKUTANO MKUBWA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUFANYIKA 20 NOVEMBA 2015, KIJIJI...
Kutoka kulia ni Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona, Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya, aliyeshiriki shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna Kiogwe,...
View ArticleDJ KFLIP ATOA MNYUKO MWINGINE WA BREAKFAST MIX YA JEMBE FM 93.7
Breakfast mix is a radio show mixed by DJ K FLIP Every Monday to Friday 7am to 10am (EAT)... Download JEMBE FM APP on GOOGLE PLAYSTORE to listen worldwideNajua una kiu ya kusikiliza muziki mzuri basi...
View ArticleWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA...
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB mkoa wa Arusha wakishindana kuvuta kambakatika viwanja vya Olasiti Garden leo katika sherehe za siku ya familia yaCRDB ambazo hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na...
View ArticleRC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MAWENZI.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makala akisalimiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo.Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleMUHIMBILI YASITISHA TENA HUDUMA ZA MRI.
WIKI moja baada ya kutengamaa kwa mashine ya uchunguzi wa magonjwa ya MRI (Magnetic Resonance Imaging), Hospitali ya Taifa Muhimbili imesitisha kutoa huduma hiyo jleo kutokana na kuharibika kwa kifaa...
View ArticleNDUGAI USO KWA USO NA GOLE MEDEYE,RICHARD LYMO, HASHIM RUNGWE,NA ROBERT...
BAADA ya wagombea wawili waliopitishwa kugombea nafasi ya Uspika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Abdula Mwinyi na Dr. Tulia Ackson Mwansasu kujitoa Kamati Kuu ya chama hicho...
View ArticleMSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STARS SAFARINI KUREKODI NA AKON
Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa tukio la kumuaga kwa ajili ya kwenda kurekodi video ya mziki na kupata mafunzo toka kwa mwanamuziki...
View ArticleBOMOABOMOA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM WANANCHI KUTAHARUKI
Dereva wa Katapila akibomoa moja ya nyumba za Kurasini Fatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) kwa hisia kali akilalamikia ubomoaji wa makazi yaoMwenyekiti...
View ArticleMWANZA ILIPOSIMAMA KWA SAA KADHAA BAADA YA MABOMU YA MACHOZI KUFURUMUSHWA...
Enzi za uhai wake aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita Alphonce Mawazo, mwenyekiti huyo ameuawa kwa mapanga ambapo mpaka sasa jeshi la polisi linashikilia watu wanne wakituhumiwa kuhusika na...
View ArticleMSAADA WA WASAMARIA WEMA WA MATIBABU UNAHITAJIKA KWA DADA HUYU
Ndugu Wasamaria wemaNapenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye, na migu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu...
View ArticleWATU 2 WAFARIKI KWA KUFUKIWANA KIFUSI MKOANI KAGERA.
Watu 2 wafariki kwa kufukiwa na kifusi Mkoani KageraWatu wawili wamefariki katika tukio la kufukiwa na kifusi eneo la kyetema, kitongoji cha kawahya bukoba vijijini. Tukio hilo limetokae majira ya saa...
View ArticleMAAJABU KAHAMA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI MGODINI KWA SIKU 41 WATU WATANO...
MAAJABU KAHAMA.... Watu watano kati ya sita waliofukiwa katika machimbo ya nyangarata kwa siku 41 wameokolewa usiku wa kuamkia leo wakiwa hai.. Walikuwa wanaishi kwa kula nguo zao magome ya miti na...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM SAIDI MECK SADIKI MGENI RASMI SIKU YA WATOTO...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki Mgeni Rasmi Siku ya Watoto Njiti, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki (wa pili kushoto) akimkabidhi...
View ArticleKUELEKEA MSIMU WA SIKUKUU YA KRISMAS TIGO WAZINDUA KAULI MBIU MPYA, "LIVE IT,...
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja, akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Meneja Mkuu wa Tigo kuzungumza na wanahabari.Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez...
View ArticleBENKI YA DTB TANZANIA YAUZA HISA ZENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 30
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Viju Cherian (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu benki hiyo...
View ArticleKILIMANJARO MARATHON MSIMU WA 2016 YAPIGWA TAFU NA TIGO ZAIDI YA MILIONI 200
Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya kuzindua msimu mpya wa mbio za Kilimanjaro Marathon...
View ArticleCCM YAPITISHA JINA LA Dkt. TULIA ACKSON MWANSASU KUWANIA UNAIBU SPIKA:...
Mbunge mteule Mhe. Dkt Tulia Ackison Mwansasu aliyepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kesho kunatarajiwa...
View ArticleWAZIRI MKUU SERIKALI YA HAPA KAZI TU NI MAJALIWA KASSIM MAJALIWA.
Mh Kassim Majaliwa Ateuliwa Kuwa Waziri Mkuu.Kitendawili cha Rais Magufuli hatimaye chateguliwa, amteua Mh.Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. BOFYA VIDEO KUSIKIA KILICHOJIRI HAPA BUNGENI...
View Article