MBUNGE WA RORYA AKANUSHA KUMKEJELI MAGUFULI.
MBUNGE wa Rorya Lameck Airo amesikika kupitia Jembe Fm 93.7 Mwanza katika kipindi cha SATURDAY EXPRESS akijibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kwamba ....Alinukuliwa na vyanzo vya habari ikiwemo mitandao...
View ArticleCCM MWANZA YATEUWA WAGOMBEA NAFASI ZA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Mkoa, Saimon Mangelepa.Na PETER FABIAN, MWANZA.CHAMACha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza jana kiliketi na kimeteuwa Madiwani kugombea nafasi ya Wenyeviti na Makamu wenyeviti...
View ArticleMKUU WA MAJESHI MSTAAFU,JENERALI GEORGE WAITARA AONGOZA TIMU YA MAAFISA 24 WA...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza katia hafla fupi ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa maofisa 24 wa jeshi la wananchi Tanzania .kulia ni Mkuu wa...
View ArticleWALIOSOMA HOGONGO SEKONDARY WILAYANI MUHEZA MKOANI TANGA WAKUTANA KUUNDA...
Mwenyekiti wa muda wa wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari ya Hogongo iliyopo Muheza mkoani Tanga, Elliude Pemba (kulia), akizungumza na wanafunzi wenzake wa shule hiyo waliosoma kuanzia 1980 hadi...
View ArticleAIRTEL FURSA YATUA BUKOBA, YAONGEA NA VIJANA KUTOOGOPA VIKWAZO KATIKA...
Mjasiliamali wa mjini Bukoba Adamu Hemed akipokea cheti kutoka kwa meneja biashara wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Mohamedi kabeke baada ya kuhudhuria mafunzo ya ujasiliamali yaliyoendeshwa na...
View ArticleJWTZ YAWASHIKILIA WAFANYAKAZI 4 WA SHIRIKA LA HUDUMA ZA VIWANJA VYA NDEGE KWA...
Jeshi la wananchi watanzania JWTZ linawashikilia wafanyakazi 4 wa shirika la huduma za viwanja vya ndege la SWISS PORT kwa tuhuma za kupiga picha vifaa vya jeshi hilo wakati vikiingia uwanja wa ndege...
View ArticlePANAFRICAN ENERGY YATOA YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI...
Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew Kangashaki (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi ya ujenzi wa nyumba ya...
View ArticleKAMPUNI YA MAFUTA YA PUMA YATEKELEZA AGIZO LA RAIS YAKABIDHI VIFAA VYA USAFI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti (wa tatau kulia), akimkabidhi vifaa mbalimbali vya usafi wa mazingira vyenye thamani ya sh.milioni 5.5, Katibu Tawala (DAS), wa Wilaya...
View ArticleHabari njema: Malipo ya vipimo vya MRI yafanyika kutoka Michango ya wasamaria...
Hati ya malipo kwa ajili ya vipimo vya MRI kwa dada Joyce iliyotolewa leo baada ya kulipiwa. Inatarajiwa atapimwa Alhamisi ama Ijumaa kabla jopo la Madaktari kuamua nini cha kumfanyia.Ndugu Wasamaria...
View ArticleKATIBU WA AFYA SINGIDA ASIMAMISHWA KAZI
Jeshi la polisi Mkoani Singida linamshikilia katibu afya wa wilaya ya Mkalama kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha.
View ArticleWAFANYABIASHARA ARUSHA WAPEWA SIKU 7 KULIPA KODI.
Wafanyabiashara mkoani Arusha wamepewa siku saba kulipa kodi wanazodaiwa.
View ArticleTOTO AFRICANS YATEKELEZA AGIZO LA MAGUFULI
Klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza imetekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kufanya usafi katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo
View ArticleNI MUDA WA KAZI SASA.
Ni muda wa kazi sasa .....Naaam mara baada ya shughuli za usafi tangu asubuhi mpaka sasa ambapo sisi kama Jembe Fm na wadhamini wetu pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo wananchi mkoa wa Mwanza...
View ArticleRAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI ZOEZI LA USAFI SOKO KUU LA CHALINZE
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo wakielekea soko kuu la Chalinze kushirikiana na wananchi kufanya usafi wa...
View ArticleTAMASHA KUBWA LA MSAFARA LINALOWAHUSISHA VIJANA KUFANYIKA JUMAMOSI HII...
Kutoka kushoto ni Manoah William Waziri wa Elimu Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Agnes Inocent wa YFF, James Isdore Mwenyekiti wa Msafara,Fadhiri Meta kutoka Youth can na Batseba...
View ArticleRAIS MAGUFULI AFANYA USAFI ENEO LA FERI.
Rais Magufuli aungana na wavuvi wa eneo la Feri jijini Dar es Salaam katika kufanya usafi katika maeneo yao lakini pia wavuvi hao wakapata fursa ya kumueleza rais matatizo yao.
View ArticleMKUU WA MKOA WA SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUFANYA USAFI KATIKA SHEREHE ZA...
Na Emmanuel MlelekwaDedc 9,2015.SHINYANGAWafanya biashara wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamelazimika kufunga biashara huku wananchi wakisitisha shughuli zao kwa takribani masaa 5 kuanzia saa 1 hadi...
View ArticleKIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHARAMIA CHAKAMATA SHEHENA YA MADAWA YA...
Kikosi maalum cha kupambana na uharamia cha Australia chakamata Shehena ya zaidi ya kilo 151 za dawa za kulevya katika Pwani ya Tanzania.Thamani ya dawa hizo ni zaidi ya dola za Marekani 80 (zaidi ya...
View Article