Jeshi la wananchi watanzania JWTZ linawashikilia wafanyakazi 4 wa shirika la huduma za viwanja vya ndege la SWISS PORT kwa tuhuma za kupiga picha vifaa vya jeshi hilo wakati vikiingia uwanja wa ndege na kuzisambaza kweye mitandao.
↧