Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASAMEHE WAFUNGWA 2,336 KATIKA KUADHIMISHA MIAKA...

Katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Nchi yetu tarehe 9 Desemba, 2015 Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA MAWAZIRI SERIKALI YA AWAMU YA 5 YA RAIS MAGUFULI

Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA IS THE FIRST COUNTRY IN AFRICA TO ARCHIVE ANALOGUE TELEVISION...

View Article

VIDEO ZA MAGUFULI AKITANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI.

Hatimaye rais Magufuli atangaza baraza lake la mawaziri ambapo baraza hilo lina wizara chache kama alivyoeleza hapo awali.Rais Magufuli ameagiza  fedha zilizotengwa  kwaajili ya semina elekezi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA HALAMSHAURI YA WILAYA YA MOSHI LAMCHAGUA MICHAEL KILAWILA KUWA...

Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,wakiwa ukumbini hapo kabla ya kuapishwa.Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo kabla ya kuapishwa.Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAMSIMAMISHA JAMES BWIRE KUWANIA NAFASI YA MEYA HALMASHAURI YA JIJI LA...

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu CCM wilaya ya Nyamagana katika uchaguzi wa kumsaka diwani atakaye simama kwa tiketi ya chama hicho kuwania nafasi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINSI WAFANYAKAZI WA TIGO WALIVYOSHIRIKI ZOEZI LA USAFI 9 DEC 2015

Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Mawasiliano ya simu Tigo Bwa. Edgar Mapande akifanya usafi katika moja ya mitaro sugu ipitishayo maji barabara inayoingia katika moja ya mitaa inayounganisha Soko la...

View Article

ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SUMVE AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUGUSHI NA...

NA PETER FABIAN, MWANZA.  MKURUGENZI na Mmiliki wa shule binafisi ya Ntunduru, Richard Mchele na mwanamke mmoja wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kugushi Hati ya nyumba na Nyaraka ili kujipatia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHANGIA DAMU, OKOA MAISHA YA NDUGU

View Article


MANCHESTER UNITED YATUPWA NJE MICHUANO YA KLABU BINGWA ULAYA.

 Machester United imeaga michuano ya klabu bingwa Ulaya baada ya kukubali kipigo cha bao 3 kwa 2 dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani.   

View Article

MLIPUKO WA HOMA YA NGURUWE JIJI LA MWANZA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRAFFIC MWANZA ATUMBUKIZA BAJAJI DEREVA WA BODABODA MTARONI ....JEH...

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa...

View Article

VIDEO ZA SHUGHULI NZIMA YA KUAPISHWA KWA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI.

Fuatilia hafla ya kuapisha baraza la mawaziri inayoendelea katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaa.Mawaziri wapya wakishiriki katika zoezi la kula kiapo mbele ya rais Magufuli jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LORRAINE MARRIOT - Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas -...

Hii ni picha nyingine ya mrembo Lorraine na imetoka usiku ikiwa ni official picha ya close up akiwa amevalia official gown Asanteni kwa ushirikianoMaria Sarungi-Tsehai National Director

View Article

MAGAZETI YA LEO DEC 13/2015

Je ni habari gani zimepewa uzito wa juu katika magazeti ya leo nchini? Fuatilia habari kemkem kupitia uchambuzi wa magazeti ya leo.

View Article


AZAM V/S SIMBA NGOMA DROO.

Azam Na Simba Watoka Sare Kwa Mabao Mawili Kwa Mawili.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA UHURU NA USAFI 2015 YAIACHA ILEMELA PABAYA.

Uhuru na Usafi ikiwa ni Kauli mbiu ya maadhimisho ya UHURU wa Tanganyika (Tanzania bara)  ambayo yalikuja kupitia amri ya Amiri jeshi mkuu wa nchi yetu Dkt John Pombe Magufuli kuzitaka familia na...

View Article


RAIS DKT. MAGUFULI AMERUDISHA ENZI ZA HAYATI KARUME NA NYERERE - MZEE KUNDIHERI

View Article

DONDOO ZA MAGAZETI.

Waziri asimulia saa 12 za miujiza. Mke wa Maalim Seif azua jambo. Wakurupushwa wakigawana shamba la Yona.Vigogo 15 mbaroni manisapaa ya Bukoba. Mawaziri spidi 120 washauriwa kutofanya kazi kwa woga....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISRI: HAKUNA USHAHIDI NDEGE YA URUSI ILIDUNGULIWA.

mage captionMisri 'Hakuna ushahidi ndege ya Urusi ilidunguliwa'CHANZO: BBC SWAHILI.Maafisa wa upelelezi wa ajali za ndege kutoka Misri wamesema kuwa hawajapata ushahidi wowote kuwa ndege ya Urusi...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>