![]() |
Taka hizo sasa zinarudi kwenye mifereji pembezoni mwa barabara....MMMMMMMmmmmm!!! |
![]() |
Ni mwendo kufukia mitaro...Na kama ni zoezi la usafi tuanze moja. |
![]() |
Hapo vije..?? |
![]() |
Ni barabara ile ile ya Kilimahewa wilayani Ilemela mkoani Mwanza. |
![]() |
Wadau husika hamuoni au mmeenda kunya chai? Nini tatizo? NAOMBA KUWASILISHA. |