MTU MMOJA AFARIKI, 4 WAJERUHIWA MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI MVOMERO.
Mtu 1 amefariki dunia na wengine 4 kujeruhiwa baada ya kutokea kwa mapigano baina ya wakulima na wafugaji wilayani Mvomero.
View ArticleMSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 CAROLINE CHELELE,...
Mshindi wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula Msimu wa nne Bi. Caroline Chelele aliyekaa kwenye Pawatila akifurahia zawadi zake, Muda mfupi baada ya kukabidhiwa. Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombelo...
View ArticleENJOY OUR CHRISTMAS SALE.
This Is An Email Advertisement Sent To You By:· Come and see our unmatched quality at reasonable prices.Victoria Plaza, Samora Avenue – Morogoro Road.Hotline: +255 754 587 552 | Email:...
View ArticleHIZI HAPA PICHA ZA TIGO FUNGA MWAKA EVENING PARTY.
Katika Blue Carpet ya Tigo anaitwa Beatrice Kinabo.@mwanza_dealz Flowers katika Party la Tigo Funga mwaka lililofanyiaka katika moja ya kumbi za Gold Crest Mwanza na kufana.Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa...
View ArticleAJALI YA BASI YAUA 8 TABORA.
Watu 8 wafariki dunia huku wengine wakijeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya ALLYS kupata ajali mkoani Tabora.
View ArticleWATAALAM WAJADILI MBINU ZA KUPAMBANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO ARUSHA
Dokta Mwele Malecela wa Kituo cha Utafiti wa Madawa (NIMR) Tanzania akifanya mahojiano jana na baadhi ya vyombo vya habari vilivyoshiriki katika warsha ya siku mbili inayofanyika mkoani Arusha kujadili...
View ArticleBABA AWAUNGUZA WATOTO WAKE GEITA.
Mkazi wa Geita anashikiliwa katika ofisi ya mtendaji baada ya kuwaunguza watoto wake mikono, miguu na midomo kwa madai ya kuiba mboga.
View ArticleMVUA ZAWAACHA 616 BILA MAKAZI TABORA.
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zawaacha watu 616 bila makazi wilaya ya Uyui mkoani Tabora.
View ArticleRUNGU KA RAIS MAGUFULI LAMDONDOKEA DKT HOSEA WA TAKUKURU
Rais Magufuli atengua uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah kutokana na utendaji mbovu. Ajali Ya Moto Yazua Tafrani UngujaAWatu 367 wamekumbwa na tafrani kubwa baada ya boti...
View ArticleMH. MHONGO ATOA MWEZI MMOJA KWA TANESCO
Waziri Mhongo atoa mwezi mmoja kwa wakurugenzi wa TANESCO kukamilisha zoezi la kuwaunganishia umeme wateja wao wote.
View ArticleENG STELLA MANYANYA ATOA ANGALIZO KWA WALIMU WAKUU.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Ufundi Stadi Eng. Stella Manyanya amesema serikali itawafukuza kazi walimu wakuu wa shule za msingi ambazo wanafunzi waliofika darasa la 3 hawajui kusoma.
View ArticleJOSE MOURINHO AFUTWA KAZI CHELSEA.
+27Jose Mourinho akiwa kwenye usimamizi wake wa mwisho kunako mazoezi ya Chelsea kabla ya kutimuliwa mapema hii leo.Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuandikisha...
View ArticleKICHUPA CHA 'UTANIPENDA' CHA DIAMOND NYUMA YA PAZIA.
Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa kasimama mbele ya magari aliyoyatumia katika video yake mpya ya Utanipenda.Staa wa Bongo, Jacqueline Wolper, akiongea jambo na Diamond.Gari ya Wolper...
View ArticleDROO YA TATU YA PROMOSHENI YA "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO YAFANYIKA...
Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde"...
View ArticleMAKUBWA YAIBUKA DHIDI YA BARABARA 6 ZA MANISPAA YA KINONDONI.
Taarifa mpya ya uchunguzi yabainisha upotevu wa kiasi cha shilingi bilioni 5.7 katika ujenzi wa barabara 6 za Manispaa ya Kinondoni.
View ArticleHARAKATI ENDELEVU ZA KIKUNDI CHA “BUKOBA MPYA PROJECT” ZOEZI LA KUTOKOMEZA...
HARAKATI ENDELEVU ZA KIKUNDI CHA “BUKOBA MPYA PROJECT”ZOEZI LA KUTOKOMEZA MAZALIA YA MBU KATA ZA MANISPAA YA MJI BUKOBA Ndugu Wadau,“Bukoba Mpya Project” ni zao la harakati endelevu chini ya Bukoba...
View ArticleNEW Official Music Video Best Nasso - Rumba
Hii ni video mpya ya Best Nasso inaitwa Rumba, Audio ya wimbo imetayarishwa na Chief Maker kutoka studio za Chief Music na video ikiwa imetayarishwa na kuongozwa na Kenny Ukiyz.
View Article