$ 0 0 Mkazi wa Geita anashikiliwa katika ofisi ya mtendaji baada ya kuwaunguza watoto wake mikono, miguu na midomo kwa madai ya kuiba mboga.