Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEMBE BEACH MSIMU HUU WA SIKUKUU.

View Article


BOMOABOMOA YAENDELEA KULIZA WENGI KINONDONI.

Vilio ,simanzi na majonzi vyaendelea kufuatia zoezi la bomoabomoa kuingia siku ya pili katika eneo la mto msimbazi wilayani Kinondoni.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI MBAYA YA BASI YAUA NA KUJERUHI VIBAYA IRINGA.

Watu 12 wafariki dunia na wengine 22 wakijeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya New Force kugongana na lori la mizigo mkoani Iringa.  Lori likiwa limeacha njia mara baada ya kugongana na basi hilo...

View Article

NDUGU WATAMBUA MIILI YA WALIOFARIKI KWA AJALI YA BUSI LA NEW FORCE.

Ndugu wa waliofariki katika ajali ya basi la New force wajitokeza kutambua  miili ya ndugu zao ; 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIGI KUU YA MUUNGANO YA NETIBOLI POLISI MORO YAIZIMA TTPL 36-33.

Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.Mchezaji wa...

View Article


MECHI KATI YA YANGA NA STAND UNITED KATIKA VIDEO.

Amissi Tambwe aandika goli lake la sita katika msimu huu kwa kuipa Yanga goli la kwaza katika mechi dhidi ya Stand United.  Mambo ya Tambwe sio mchezo kabisa, cheki staili aliyotumia kuipa timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO YADHAMINI UZINDUZI WA ROCK CITY MALL. Kufanya gulio la kuuza bidhaa...

Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo(katikati),akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Mwanza jana,ambapo jengo la kimataifa la biashara(Rock City Mall) limekamilika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘SKYLIGHT SUNDAY BONANZA’‬ NDIO HABARI YA MUJINI JUMAPILI YA LEO ESCAPE ONE...

Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao Jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza‬ kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es...

View Article


UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI.

Magufuli tishio, Muhongo ataka bei ya umeme ishuke,Waziri mkuu afanya ziara, madiwani wa chadema wakamatwa. Fuatilia Magazeti.STAR TV: Umafia TRA, Kachero wa serikali achinjwa, Magufuli tishio,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARNABA, JJ BAND WALIVYO KAMUA JANA ROCK CITY MALL MWANZA.

View Article

MAGOGO 7860 YAKAMATWA MBEYA.

Magogo 5876 yakamatwa na wakala wa misitu Tanzania katika maeneneo mbalimbali ya nyanda za juu kusini yakidhaniwa kuwa yametoka nchini Zambia. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME...

Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Injinia wa kituo Bw. Rajabu Kindunda (wa tatu kulia) kuhusu...

View Article

RAIS MAGUFULI AKATA SEHEMU YA MSHAHARA WAKE ILI KUTOA MSAADA

Rais Magufuli atoa msaada wa shilingi millioni moja kutoka katika mshahara wake kumsaidia mtoto mwenye ulemavu aliyeomba msaada. 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZANZIBARI WAANDAMANA UMOJA WA MATAIFA

Waandamanaji wa Zanzibar Diaspora walipoandamana mbele ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Na Mwandishi wetu WashingtonIkiwa imepita karibuni miezi miwili tangu kumalizika kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI 16 WAPATIKANA KATIKA DROO YA AIRTEL MKWANJIKA.

Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (katikati) akiongea na moja ya washindi kupitia simu ya mkononi wakati wa kuendesha droo ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 16...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMII YETU IKO MIKONONI MWETU

Mratibu wa Vijana, Bahati Juma (wa kwanza kulia) akiwa na wanafunzi wa darasa la saba, shule ya Msingi Uchunga, kupitia pamoja somo la kiswahili kituoni hapo.Mabadiliko katika jamii yoyote kwa kiasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTER YASHINDA TUZO MBILI KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA.

MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akionyesha tuzo mbili za ubora mara baada ya kukabidhiwa na waandaji wa Tanzania Leadership Award 2015. Airtel ilijishindia tuzo hizo katika kipengele cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE...

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21,...

View Article

MBOWE AKANUSHA TUHUMA Dhidi ya Sumaye

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akanusha taarifa zinazosambazwa kuwa waziri mkuu wa zamani Frederick Sumaye ametoa sharti la kupatiwa nafasi ya ukatibu mkuu ili aendelee kubakia ndani ya chadema.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEMBE FM ILIPO SIMAMIA PART LA KUTAMBULISHA ROCK CITY MALL MWANZA

Oh my bATa Good.....Mc Bonz kutoka 93.7 Jembe Fm Mwanza akifanya yake  ndani ya kusanyiko la kutambulisha eneo la uwekezaji la biashara la Mwanza City Mall lililopo Kirumba jijini hapa.Mmoja kati ya...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>