Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akanusha taarifa zinazosambazwa kuwa waziri mkuu wa zamani Frederick Sumaye ametoa sharti la kupatiwa nafasi ya ukatibu mkuu ili aendelee kubakia ndani ya chadema.
↧