Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOSPITALI YA APOLLO YATOA ZAWADI YA MAISHA ” KWA KUFANIKISHA UPANDIKIZAJI WA...

 Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, katika hospitali ya Apollo akizungumza na waandishi wa habari baada ya upandikizaji huo.Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU HAPA MALKIA WA KOMBE LA MUUNGANO

     Mrajisi wa Vyama vya Michezo Zanzibar akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano Kepteni wa Timu ya Uhamiaji Sofia Komba Baada ya Timu yao kulinyakuwa Kombe hilo Mwaka huu katika Uwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA VIJIJI NI DHANA KUU YA KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI...

Baadhi ya wenyeviti toka Halmashauri ya wilaya ya Kishapu wakimsikiliza mkufunzi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo yao yaliyofanyika wilayani hapo. “Unakuja kwenye ofisi yangu na kutoa taarifa za...

View Article

VAN GALL KITANZINI

Kocha Louis Van Gall wa Manchester United  hatihati kumfuata Mourinho baada ya timu yake kupewa kichapo nyumbani; 

View Article

6 Wahukumiwa Miaka 30 Jela

Sita watiwa gerezani kwa miaka 30 kila mmoja kwa kosa la ujambazi na uporaji kwa kutumia silaha mkoani Tabora; 

View Article


RAIS MAGUFULI AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI RAHCO

Rais Magufuli amsimamisha kazi mkurugenzi wa kampuni ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) mhandisi Benhadard Tito.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UDHAIFU WA USIMAMIZI WA MIRADI MBALIMBALI NI CHANGAMOTO KATIKA KULETA KASI YA...

Waraghbishi toka kijiji cha Pandagichiza wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya tanki la maji, ambalo baadhi yao ndio wasimamizi wake kutokana uaminifu wao.Tanzania ya leo, imepitia mabadiliko mengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABIRIA ASIMULIA KILICHOTOKEA UTEKWAJI WA GARI LA ABIRIA MISUNGWI.

NA PETER FABIAN, MWANZA.GARI la abiria la Master City lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kuelekea jijini Mwanza juzi kuamkia jana majira ya saa 7:00 usiku lilitekwa na watu wanaosadikiwa kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JOHN MAGUFULI ATOA MKONO WA KRISMAS...

Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEGA TRADE YASABABISHA TABASAMU KWA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU MWANZA.

Watoto waishio mazingira magumu wa kituo cha malezi cha Upendo kilichopo Nyegezi wilayani Nyamagani mkoani Mwanza wakishusha zawadi zao za sikukuu ya Krismasi walizoletewa na Kampuni ya kutengeneza...

View Article

POLISI WAUANA KWA RISASI MWANZA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida askari polisi amuua askari mwenzake na kisha kujiua mwenyewe kwa kujipiga risasi jijini Mwanza. 

View Article

MAADHIMISHO SHEREHE ZA MAULIDI

Waumini wa dini ya kiislamu nchini wameungana na wengine duniani katika kusheherekea sherehe za Maulidi ambayo kitaifa itafanyikia jijini Dar es Salaam.

View Article

MAWAZIRI WIZARA 4 ZILIZOKUWA ZIMESALIA WAPATIKANA.

Rais John Magufuli amemalizia kutangaza nafasi za mawaziri wa wizara nne zilizokuwa zimebakia wakati alipotangaza baraza la mawaziri. 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAJAJ AUTO COMPANY WAKISHIRIKIANA NA JEMBE FM WAMWAGA ZAWADI ZA SIKUKUU KWA...

Zawadi ya flat screen TV kwa dereva wa bodaboda Mwanza katika Onyesho la Boxer BM 100 shughuli iliyoruka LIVE kupiti aJembe Fm toka viwanja vya Magomeni Kirumba.Mafundi wa Bajaji Auto Company wakitoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WAAMINIFU WILAYANI KAHAMA WAKERWA NA UTORO.

Pichani nikiwa nazungumza na   Raia waamilifu kutoka kijiji cha Kilago  wilayani Kahama ambapo nilipata nafasi ya kujua mambo  mbalimbali ikwemo mchango wa uraghabishi  katika kijiji hicho katika sekta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAKO KWA KAYA ZISIZO NA VYOO WAANZA JIJINI MWANZA.

Mkurugenzi wa jiji la Mwanza Adam Mgoyi akitoa tamko kuhusu suala la ugonjwa wa kipindupindu na namna Halmashauri ya jiji hatua inazo chukua juu ya wale wote watakao endelea kuuza vyakula sehemu zisizo...

View Article

RAIS DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KIMBILIO LA WATANZANIA - WAZEE WANENA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAKUTAKIA KILA LA KHERI YA SIKUKUU YA CHRISTMASS NA MWAKA MPYAA

Na Krantz Mwantepele,“Huku tupo tu tunahangaika na kilimo, tunalima kila mwaka, lakini ukweli ni kwamba kilimo chetu wala hakina faida basi tu bora siku ziende”Lilikuwa ni jibu toka Alex Jonh maarufu...

View Article

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA KRISMASI.

Rais Magufuli ashiriki katika misa ya kuadhimisha sikukuu ya Krismasi katika kanisa la Mt. Petro Oystabay jijini Dar Es Salaam.Rais Magufuli ametuma salamu na heri ya sikukuu ya krismasi kwa Watanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM WANAWAKE 12 WAPATA WATOTO MKESHA...

 Afisa Muuguzi Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwanne Satara  akimsaidia kumuelekeza Lulu Mohamed namna ya kumfunika nguo Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia Krismas Dar es...

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>