Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

WAZIRI ATEMA CHECHE.

Naibu waziri wa maliasili na utalii awataka maafisa wanayama pori kote nchini kuachia mifugo yote iliyokamatwa katika mapori mbalimbali mpaka hapo badae serikali itakapotoa maelekezo.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YAUA WA 4 NA KUJERUHI 105

**SATURDAY EXPRESS** Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea jana 25/Dec2015 majira ya saa 12 asubuhi eneo la Soni Lushoto Tanga na watu wapatao 4 kufariki na majeruhi 105 baada ya lori walilokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARAGHABISHI WAKOLEZA KASI YA MABADILIKO WILAYANI KISHAPU.

Watendaji wa Kituo cha Maendeleo cha Jamii ya Uchunga wilayani Kishapu  wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi mbele ya jengo la kituo hicho likiwa limekamilika kutokana na michango yao ya fedha na...

View Article

MAGAZETI DEC 26 AZAM TV.

Hapatoshi Kerry dhidi ya Julio uwanjani leo, Guardiola yupo tayari kutua Old Trafford, Wenger amtengea dau Chicharito. Fuatilia Magazeti ya michezo hapa.

View Article

RAIS MAGUFULI AJIPANGA KUMALIZA MGOGORO WA ZANZIBAR.

Rais magufuli akutana na Dkt. Sheikn na kufanya mazungumzo huku lengo la mazungumzo hayo likielezwa kuwa mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar: 

View Article


MWANADIPROMASIA TANZANIA AINGILIA KATI MGOGORO WA BURUNDI.

Mwanadiplomasia  mkongwe Dkt. Salimu  Hamed, amesema serikali ya Burundi inatakiwa isikilize matakwa ya wananchi wake pamoja na uongozi wa Afrika: 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIEW ZA JEMBE BEACH RESORT MWANZA.

Nikiwa na Dj namba moja wa Kazi na Ngoma Jembe Fm  Dvj Frank (kulia), Fundi mbambe (kati) nami Gsengo... mdogo mdogo at Jembe Beach Mwanza Tanzania. The menu....Dr. Jembe (kati), Dvj Frank (kulia) na...

View Article

CCM ZANZIBAR YAQJIPANGA KUNYAKUA USHINDI UCHAGUZI WA MARUDIO.

Kamati maalumu ya NEC CCM Zanzibar yawataka wanachama wa CCM kujiimarisha na kujiweka tayari kuleta ushindi uchaguzi wa marudio.  

View Article


MAPINDUZI YA FILAMU NCHINI TANZANIA.

Mtazame  mwanadada maarufu anajulikana kama Cheusi akikujuza kuhusu filamu mpya ambayo inakuja kuleta mapinduzi ya filamu Tanzania: 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU WAZIRI ALIOWATEUA KUJAZA NAFASI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Prof. Jumanne Magembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, wakati wa hafla fupi ya kuwaapishwa Mawaziri wapya walioteuliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DROO YA PILI YAAIRTEL MKWANJIKA DROO TULIYOCHEZESHA LEO

Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendesha droo ya pili ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 28...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO WADAU WALIVYOJIMWAGA NDANI YA JEMBE BEACH MSIMU WA XMASS.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWEKEZAJI KATIKA MIGODI TANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAKAZI WAISHIO...

Baadhi ya Washiriki wa Mdahalao huo wakifuatilia mada iliyokuwa ikijadiliwa wakati wa mdahalo.Nchi mbalimbali duniani zimekuwa na sera mahususi kwa ajili ya kukaribisha wawekezaji mbalimbali kuja...

View Article


TANAPA WAKOMALIA KUBORESHA UTALII WA NDANI.

Wadau wa utalii wa ndani wameishauri TANAPA kuweka kuweka utaratibu utakaowawezesha watalii wa ndani  kutembelea hifadhi hiyo kwa gharama ndogo.

View Article

HIVI NDIVYO FALLY IPUPA ALIVYOKISANUKISHA KWENYE CONCERT HUKO Conakry.

View Article


MVUA YASABABISHA MAAFA MBEYA.

Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Rungwe imesababisha maafa makubwa baada ya kubomoa nyumba 23 na zahanati na pia ikiharibu mazao. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEMVU ATETA NJE YA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiteta jambo na wafuasi wake nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, baada ya kesi aliyoifungua ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo kuahirishwa hadi...

View Article


MKUU WA MKOA WA MWANZA AMCHARUKIA MGANGA MKUU HOSPITALI YA MAGU

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa mulongo amuagiza mganga mkuu na katibu wa hospitali ya wilaya ya Magu kusimamishwa kazi.

View Article

UOZO BANDARINI WAZIDI KUPAMBA MOTO.

Jeshi la polisi nchini lawashikilia watumishi 7 wa mamlaka ya usimamizi wa Bandari TPA baada ya kuhusika na upotevu wa Sh. Bil. 47.4

View Article

WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAZIPONGEZA JUHUDU ZA RAIS MAGUFULI.

Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wameunga mkono jitihada za rais Dkt Magufuli kwa hatua anazochukua kupambana na vitendo vya ubadhirifu.   

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>