$ 0 0 Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wameunga mkono jitihada za rais Dkt Magufuli kwa hatua anazochukua kupambana na vitendo vya ubadhirifu.