$ 0 0 Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Rungwe imesababisha maafa makubwa baada ya kubomoa nyumba 23 na zahanati na pia ikiharibu mazao.