$ 0 0 Rais Magufuli atengua uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah kutokana na utendaji mbovu. Ajali Ya Moto Yazua Tafrani UngujaAWatu 367 wamekumbwa na tafrani kubwa baada ya boti walilokuwa wakisafiria kutoka Unguja kwenda Pemba kupatwa ba mlipuko wa moto.