Rais Magufuli aungana na wavuvi wa eneo la Feri jijini Dar es Salaam katika kufanya usafi katika maeneo yao lakini pia wavuvi hao wakapata fursa ya kumueleza rais matatizo yao.
↧