![]() |
Ni moja kati ya angle za picha kuelekea harusi ya Bwana Erick aliyefunga pingu za maisha na Bi. Diana tarehe 26 Dec 2015 mkoani Mwanza. |
![]() |
We share... |
![]() |
Let the world C. |
![]() |
Nani kaona? |
![]() |
Some were karibu na Airport Mwanza. |
![]() |
Poz la jioni... |
![]() |
Sweet Love. |
![]() |
Selfika kimtindo ndiyo zetu. |
![]() |
Kaa tayari kupata baadhi ya picha tamu za harusi yao iliyofungwa mnamo tarehe 26 Dec 2015 na kufuatiwa bonge la party la kukata na shoka. |