Magazeti Januari 3 2016 AZAM TV
Arsenal yapaa, Man united yashinda, Azam na Simba vitani Zanzibar, Liverpool chali, Chacharito ang’ara, Niyonzima atoa ya moyoni,
Magazeti Januari 3 2016 TBC
Kingunge ampa siku 100 Magufuli, Wananchi wavamia shamba la Sumaye, Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni, Mwigulu acharuka;
Magazeti Januari 3 2016 CH10
Lowassa amponza, Ubadhilifu wa kutisha mnadani, Mawaziri wakuu wamjadili Magufuli, Bomoa bomoa yahamia kwa Vigogo