Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA KITAIFA YA BONANZA LA MATEMBEZI YA WANAMICHEZO WA ZANZIBARUWANJA...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika Matembezi ya Bonaza la Wanamichezo wa Zanzibar akiongoza matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMUZIKI NATALIE COLE AFARIKI DUNIA

 Albamu yake ya Unforgettable ilishinda tuzo sita za Grammy Natalie Cole, mwanamuziki nyota kutoka Marekani aliyeimba nyimbo maarufu kama vile Unforgettable , amefariki akiwa na umri wa miaka 65....

View Article


UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO

Magazeti Januari 3 2016 AZAM TVArsenal yapaa, Man united yashinda, Azam na Simba vitani Zanzibar, Liverpool chali, Chacharito ang’ara, Niyonzima atoa ya moyoni,Magazeti Januari 3 2016 TBCKingunge ampa...

View Article

SERIKALI SMZ YATOA TAMKO SHEREHE ZA MAPINDUZI.

Serikali SMZ Yatoa Tamko Sherehe za MapinduziSerikali ya mapinduzi ya Zanzibar yasema sherehe za maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar zitaendelea kama zilivyopangwa hapo awali.

View Article

MBONA UNAHANYA?

Haya kwa wenye vibesi mpooo?

View Article


HIZI HAPA TOP 10 ZA JEMBE GOSPEL KWA MWAKA 2015 - 2016

NO. 1 Christina Shusho - Ninanga'ra NO. 2 Goodluck gozbert ipo siku.NO. 3 Christopher Mwahangila-Mungu Ni Mungu Tu.NO. 4 Joseph Nyuki - Saluti NO. 5 Edson Mwasabwite - Ni Kwa Neema Na Rehema.NO. 6 Rose...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YAUA 6 NA KUJERUHI 25.

Ajali mbaya, mbili kubwa zimeripotiwa kutokea jana moja ikiwa katika eneo la msosa mkoani Morogoro majira ya saa nane mchana ikihusisha basi la abiria la Al-Hushum lililokuwa likitokea jijini Dar es...

View Article

RWAKATALE AIVIMBIA SERIKALI.

Mwanasheria wa mchungaji Getrude Rwakatare apinga zoezi la kuwekea alama ya X kwa nyumba ya mchungaji Rwakatare huku akidai mahakama ya ardhi ilikwisha suluhisha swala hilo.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNYANYASAJI, MKE AKATA NYETI ZA MUMEWE KISA CHAKULA.

MWANAUME mmoja mkazi wa Igeregere Bugarika jijini Mwanza amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukatwa uume wake na mwanamke anayedaiwa kuwa alikuwa ni mpenzi wake.Mwanaume huyo ambaye jina...

View Article


RAIS ALI MOHAMED SHEIN AWATAKA WATENDAJI ZANZIBAR KUWAJIBIKA VILIVYO

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amewataka watendaji wa serikali kuwajibika vilivyo ili kuendana na kasi ya maendeleo.Kocha Jurgen Kloop Ashikwa Hasira Kufungwa Kwa Timu YakeKocha wa klabu ya...

View Article

CHANGAMOTO ZA MITANDAO YA KIJAMII NCHINI.

Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kwa watumiaji walio wengi nchini jambo ambalo limeifanya mamlaka ya mawasiliano kuchukua hatua lukuki kukabiliana na changamoto hizo;

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA MAARUFU MWANZA AGIZWA KUWASILISHA NYARAKA ZA UJENZI JENGO LA...

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, John Wanga (watatu kulia) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Manju Salum Msambya (mwenye kofia katikati) juu ya ukarabati wa dhalula wa barabara...

View Article

SERIKALI KUVUNJA LEO MAHEKALU YA VIGOGO.

Serikali kuvunja leo mahekalu ya vigogo. Nyaraka za ziwa Nyasa zapatikana. TRL yaanza ukarabati wa reli Kilosa.Wagundua tiba ya UKIMWI. Ziara ya waiziri Majaliwa Kariakoo yajibu.Bomoabomoa yatinga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA JIJINI MOROGORO WACHANGAMIKIA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUPITIA AIRTEL...

Vijana zaidi ya 200 kutoka Manispaa ya Morogoro wakiwa kwenye mafunzo na vitendea kazi kwa vijana zaidi ya 200 kupitia mradi wa Airtel Fursa yenye lengo la kuwawezesha vijana kukuza biashara na...

View Article

WAZIRI MKUU AWASHA MOTO RUVUMA.

Waziri mkuu amuagiza mganga mkuu wa mkoa wa Ruvuma kuondoa mara moja duka lake la dawa lililopo pembezoni mwa hospitali ya mkoa.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RENT A MACHINE LTD.

RENT-A-MACHINE LTDBest ValueBest SolutionBest PackageCONTACT US ON:Tell: +255 786 786 544 | +255 753 552 068 Email: sales@ram-tz.com

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAUTII SOL WAMEACHIA NGOMA YAO MPYA IITWAYO “RELAX”

PRESS RELEASE: SAUTI SOL RELEASE “RELAX” MUSIC VIDEO​Multiple award-winning group Sauti Sol release the music video of RELAX, the seventh single off their new album: Live and Die in Afrika (released...

View Article


RAIS MAGUFULI KUKABIDHIWA CCM JUNI. TRA YAWEKA REKODI MPYA UKUSANYAJI MAPATO.

Vigogo wajisalimisha kwa rais Magufuli. Dkt.Shein atoa ya moyoni. TRA yaweka rekodi mpya ukusanyaji mapato; 

View Article

CHADEMA WAKUTANA MOSHI. NYUMBA 678 KUHAKIKIWA UPYA BONDE LA MKWAJUNI.

Nyumba 678 kuhakikiwa upya bonde la Mkwajuni. CHADEMA wakutana Moshi. Moto wazuka makao makuu ya polisi; 

View Article

AGIZO LA BOMOA BOMOA MBEYA KUTEKELEZWA.

Halmashauri ya jiji la Mbeya imesema msimamo wa kubomoa nyumba za wakazi waliojenga maeneo ya wazi ipo pale pale.

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>