Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIT ZONE YA JEMBE FM 13:00 - 16;00

**HIT ZONE** Kwa hewa kupitia 93.7 Jembe FM @nattyebrandy & @babajuti ON 1&2 yuko @chrissthedjTupate popote ulimwenguni kupitia Google play store kwa kusachi JEMBE Fm kisha sikiliza LIVE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL MKWANJIKA YAFANYA MAMBO KWA WAKAZI KANDA YA ZIWA.

Erasmus Mtatuba ambaye ni fundi umeme kutoka mkoa wa Kagera akijizolea fedha toka katika chumba chenye upepo wa kupeperusha fedha ndani ya Droo ya shindano la Airtel Mkwanjiaka ambapo kwa muda wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO YAIFUNGISHA VIRAGO AZAM FC, YANGA NA MTIBWA ZATINGA NUSU FAINALI

Sadik Habib (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao la pili dakika za lala salama.CHANZO: BIN ZUBEIRY SPORTS.Na Mwandishi Wetu, ZANZIBARKWA mara ya kwanza katika historia ya Kombe la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEYONCE APONDWA JUHUDI ZA KUTENGENEZA FILAMU YA MWANAMAMA WA KIHISTORIA AFRIKA.

Mapema mwanzoni mwa wiki hii magazeti nchini Afrika ya Kusini na baadhi toka nchini Uingereza yamelalama na kutupa madongo ya kejeli kwa mwanamuziki Beyonce, mara baada ya taarifa zilizotoka toka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI ZAMU YA MBWANA SAMATA KUING'ARISHA TANZANIA ANGA ZA KIMATAIFA.

@samagoals - Nachukua nafasi hii kwanza kumshukuru Mungu kwa kila lililotokea. Pia Baba yangu pamoja na familia kiujumla, ndugu, jamaa na marafiki. Pia kwa dhati kabisa nawashukuru Watanzania wenzangu...

View Article

WAHAMIAJI 435 WAKAMATWA MKOANI MARA.

Idara ya uhamiaji mkoani Mara yaeleza kukamata wahamiaji haramu 435 kwa mwaka 2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANT LATIFA MASASI HATOA HUDUMA ZA AFYA KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEWA KATIKA...

Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo vya damu ya mtoto Raban Mansur wakati alipotembelea kituo cha watoto...

View Article


WAHAMIAJI HARAMU 12 RAIA WA BURUNDI WATIWA MBARONI SHINYANGA.

Idara ya Uhamiaji Shinyanga imewakamata vijana 12 ambao ni wahamiaji haramu toka nchini Burundi wakijishughulisha na biashara ya Boda boda.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII HAPA SIMULIZI YA HISTORIA YA MBWANA ALLY SAMATA.

Hivi ulishawahi kujiuliza Mshindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa Africa kwa ligi za ndani 2015 - 2016 Mbwana Samata anapokuwa Congo katika klabu yake ya TP Mazembe, anapohojiwa na vituo vya televisheni na...

View Article

MAGAZETI YA LEO:- AFUKUZWA KWA KUHALALISHA HEKALU LA MCHUNGAJI LWAKATARE.

Wahamiaji haramu 79 watiwa mbaroni. Bomoa bomoa ipo palepale. Afukuzwa kwa kuhalalisha hekalu la mchungaji Lwakatare; Wasiopeleka watoto shule kutozwa faini mil.5. Wawili wafariki, mmoja apooza kwa...

View Article

LUHAGA MPINA ATUPA RUNGU NEMC

Naibu wa waziri wa ofisi ya makamo wa rais mazingira Luhanga Mpina ametoa siku 7 kwa NEMC Mbeya kuhakikisha wanapima maji machafu yanayotoka katika kiwanda cha Songwe. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEREKO LA HARUSI YA JONAS NA BENITHA LILIYOFANYIKA JIJINI MWANZA.

 Bwana Jonas Songora na Bi. Benitha Tebuka wakiwa katika red carpet kwenye ukumbi wa sherehe Gold Crest Mwanza, baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la AICT Makongoro jijini humo. Wakivalishana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AKILI MKICHWA.

Mwalimu mmoja aliita wanafunzi wake akawaambia ''Kesho kila mwanafunzi aje na nyanya kulingana na idadi ya watu anaowachukia, Yaani kama unamchukia mtu mmoja uje na nyanya moja kama ni wawili basi njoo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAJATI YAFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA VIWANDANI JIJINI MBEYA NA KUSHUHUDIA...

Baadhi ya mitambo iliyotelekezwa kwenye Kiwanda cha kutengenezea Zana za Kilimo ZZKMitambo ambayo ilikuwa ikitumika kutengenezea Zana za Kilimo katika kiwanda cha ZZK Iyunga jijini Mbeya ikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NAPE NNAUYE AKUTANA NA WAYHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI LEO JIJINI DAR

 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Mh.Nnape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya Wakuu wa Idara ya Habari Maelezo na Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari  mapema...

View Article

HII BURUDANI NI SAIZI YAKO.

View Article


MAALIM SEIF KUTUMBUA JIPU LEO.

Maalim Seif kutumbua jipu leo. Kigogo UDA amuhujumu waziri mkuu. Billioni 600 chanzo cha watu kujenga mabondeni.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF AWEKA MSIMAMO WAKE JUU YA UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR>> AKATAA...

MGOMBEA KITI CHA URAIS ZANZIBAR KUPITIA TIKETI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF MAALIM SEIF muda mchache uliopita amezungumza na waandishi wa habari: Na zifuatazo ni sehemu ya nukuu za kauli alizotoa leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU ATIMULIWA KWA UBADHILIFU WA Sh500 MILIONI.

Mwenyekiti wa nyumba ya wahudumu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Victoria Nyanza, Mchungaji Andrew Kashilimu, akisoma tamko la wachungaji jana. Picha na Aidan MhandoCHANZO: GAZETI LA...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>