Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI YASHTUSHWA NA KASI YA DAWASCO

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji safi na Maji taka Dar es Salaam (DAWASCO) Mhakndisi Cypian Luhemeja akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Mbogo Mfutakamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS KESI YA KIWIA KUPINGA MATOKEO JIMBO LA ILEMELA YAFUTWA

Wakili Mutabaazi wa Mbunge Angelina Mabula (mwenye suti nyeusi) akiwa na Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ilemela Kheri James wakati wa kutoa ufafanuzi wa uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza...

View Article


RAIS MAGUFULI AMTEMBELEA SUMAYE HOSPITALI.

Rais Magufuli amtembelea na kumjulia hali waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye ambaye amelazwa katika taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete Dar es Salaam.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PATA SIMULIZI YA TUZO ZA BALLON D'Or ZINAZOFANYIKA LEO USIKU.

Mmoja kati ya miyamba ya soka duniani,Lionel Messi,Christiano Ronaldo au Neymar huenda akatawazwa kuwa mshindi wa tuzo la Ballon d'Or,tuzo linalopewa mchezaji bora duniani. BOFYA PLAY KUSIKILIZA...

View Article

TANESCO MARUFUKU KUNUNUA NGUZO ZA UMEME NJE YA NCHI.

Matumizi Ya Nguzo Za Umeme Toka Kwa Wawekezaji Wa Ndani.Serikali imelitaka shirika la umeme nchini TANESCO kuacha kununua nguzo za umeme kutoka nje ya nchi badala yake zinunue nguzo hizo kutoka katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA KIMENUKA:- SASA MAFURIKO NI KATIKATI YA JIJI.

 Mvua zilizonyesha leo kwa takribani muda wa saa kadhaa mkoani Mwanza zime leta maafa haya jijini hapa...hata kuharibu mali za wafanyabiashara na hata kusomba vyombo vya usafiri na mali za wadau.Wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AZINDUA AIRTEL FURSA TUNAKUWEZESHA MSIMU WA PILI...

 Naibu Waziri  wa Kazi Vijana na Ajira, Athony Mavunde (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), na Mshauri wa mradi wa Airtel Fursa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUMIATUMBO ASAINI KUPIGANA NA BENK MWAKALEBELA JANUARY 30

Bondia Alphonce Mchumiatumbo kushoto akipokea mkataba alio saini kutoka kwa Rais waKamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa kwa ajili ya kupambana na Benk Mwakalebela wa Mbeya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MESSI ANYAKUA TUZO YA BALLON D'Or KWA MARA YA TANO/LIONEL MESSI HAS WON THE...

Messi on his "special moment"Lionel Messi is (obviously) delighted to win the trophy again.“It’s a very special moment to be back here, winning another Ballon d’Or,” he says.“Especially after watching...

View Article


MAALIM SEIF AVUNJA UKIMYA.

Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif, avunja ukimya na kuzungumzia kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar huku akitoa msimamo wa chama chake. WAKATI HUO HUO...Serikali ya Zanzibar Yatoa TahadhariSerikali ya...

View Article

UCHAGUZI WA ZANZIBAR KURUDIWA HIVI KARIBUNI, RAIS MAGUFULI AMTEMBELEA SUMAYE...

Uchaguzi wa Zanzibar kurudiwa hivi karibuni, Rais Magufuli amtembelea Sumaye Muhimbili. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa.

View Article

UHURU MAANA YAKE NI NINII? SHEIKH ABEID AMANI KARUME

Wakati Zanzibar ikiwa katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi yake yaliyoiondoa madarakani Serikali ya Zanzibar iliyokaa madarakani siku chache. Mapinduzi yaliyofanyika Januari 12,1964. Huku ikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA HOSPITALI YA PERAMIHO SONGEA.

Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr Venance Mushi, alipotembelea hospitali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDANI YA KIPINDI CHA HIT ZONE SAA 7 HADI 10 MB DOGGY KUSIKIKA.

Usikose kusikiliza #HITZONE 93.7 Jembe Fm. Mb Doggy amefunguka mengi......Mara ya kwanza anavuta bangi ilikuwaje?Alishawahi kwenda kwenye show ikabuma?Tune Jembe Fm right now ukiwa na @nattyebrandy...

View Article

BOMOA BOMOA SASA YAHAMIA MWANZA.

Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu muungano na mazingira aiagiza NEMC na halmashauri ya jiji la Mwanza kubaini waliojenga mabondeni. 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FILAMU YA JENNIFER MGENDI 'WEMA NI AKIBA' YAKAMILIKA.

 Filamu ya Wema ni akiba yake mwanamama Jennifer Mgendi imekamilika. Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo ambayo imewashirikisha wasanii na watumishi mbalimbali ni stori inayomhusu kijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA PICHA YA NDEGE WILAYANI KIBAHA WAGOMEA KULIPIA ONGEZEKO LA KODI...

NA VICTOR MASANGU, KIBAHAWANANCHIwa eneo la mtaa wa Picha ya ndege Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani wamegomea kulipia ongezeko la  kodi ya majengo kutokana na kuongezewa kodi hiyo kwa  kiwango kikubwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA LETICIA NYERERE KUWASILI MUDA WOWOTE.

Aliyewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA, Marehemu Leticia Nyerere Kwa ufupiKwa mujibu wa wanafamilia ya Mwalimu Julius Nyerere, mwili huo unatarajiwa kuwasili nchini baada ya utaratibu wote...

View Article

Dkt Shein ATHIBITISHA UWEPO WA MARUDIO YA UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibara Dkt. Mohammed Shein amethibitisha kufanyika kwa marudio ya uchaguzi mkuu baada ya uchaguzi huo kufutwa mwaka jana. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIRECTOR SHAIBU ATAMBULISHA NGOMA YAKE MPYA 'OKOLILE AMAIZZING'

Mkali wa muziki wa Bongo fleva toka Mwanza, Director Shahibu hatimaye ameachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Okolile Amaizzing.Natty E mwanadada mtangazaji wa show ya mchana kipindi...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>