Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

DIRECTOR SHAIBU ATAMBULISHA NGOMA YAKE MPYA 'OKOLILE AMAIZZING'

$
0
0
Mkali wa muziki wa Bongo fleva toka Mwanza, Director Shahibu hatimaye ameachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Okolile Amaizzing.
Natty E mwanadada mtangazaji wa show ya mchana kipindi cha HIT ZONE kwenye mic na mahojiano.
Director Shahibu amesema kuwa soon track hiyo itakwenda kusikika kupitia Mkito.com ambapo mashabiki wa muziki wake watapata chance ya kuipakuwa ngoma hiyo na kujisikilizia kwa nafasi.
Kutoka kushoto ni Chriss The Dj, Director Shahibu na producer Sappy.
Kutoka kushoto mtangazaji wa show ya mchana Baba Juti, Director Shahibu, Natty E, producer Sappy na Chriss The Dj wa Jembe Djz.
Them.....
Selfie na Gsengo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>