Daktari feki kakamatwa mchana kweupeeee Hospitali ya mkoa wa Mwanza Sekeutoure..... jamaa amekuwa hospitalini hapo kimtindo akipiga mzigo zaidi ya mwezi mzima, huku akitoa huduma zake feki za uigizaji bila kustukiwa na akijimix na madaktari wa ukweli hospitalini hapo.
Kwamujibu wa wagonjwa na ndugu waliokuwa wakifika hospitali wanasema 'Jamaa amekuwa akiwatoza fedha wagonjwa kwa kuwaahidi kuwafanyia operation au kuwaharakishia oparesheni wakati sio mwanataaluma. (SAUTI KUWAJIA HIVI PUNDE)
ILI KUPATA HABARI ZAIDI SIKILIZA JEMBE HABARI kila siku saa moja asubuhi (07:00), kumi kamili (16:00) na saa moja jioni (19:00) ukiwa na @harith_jaha / @elikanamathias na @mustafakinkulah Tupate popote ulimwenguni kupitia Google play store kwa kusachi JEMBE Fm kisha sikiliza LIVE kupitia simu yako ya mkononi.