JE WEWE NI MSANII NA UNAKAZI YAKO UNAHITAJI KUUZA???
ClickPay Africa tunahusika na uuzaji wa vitu mbalimbali ikiwemo Audio, Video, Movies, Photos, Live concerts, PDF, E-books, Documentaries, articles, etc.Kwa msanii yoyote mwenye kazi yake na anahitaji...
View ArticleBONGE LA TRACK LA MSANII TOKA KENYA ALIYEMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ
AKOTHEE FT DIAMOND - MY SWEET A story about a self-assured blind architect played by "Akothee" who wouldn't allow her disability dictate her daily life.
View ArticleMISS TANZANIA AIPONZA STANBIC. LOWASSA AIPA JEURI UKAWA
Miss Tanzania aiponza STANBIC. Lowassa aipa jeuri UKAWA, mameya Dar wakamilisha majibu ya Dk.Slaa kuhusu waziri huyo wa zamani.Urais Zanzibar waliponza Mawiwo, TMAA yanasa madini uwanja wa JNIA.Bavicha...
View ArticleSERIKALI YALIFUTA GAZETI LA MAWIO.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (mwenye suti ya kijivu) akiwaeleza Waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya Uamuzi wa Serikali wa kulifuta Gazeti la MAWIO katika...
View ArticleHALI TETE MKWAJUNI JIJINI DAR ES SALAAM
Muda mchache uliopita GSengo BLOG imepokea taarifa hii na picha toka kwa mdau aliye eneo la tukio, zikitiririka kuwa "Wananchi wa bonde la Mkwajuni Kinondoni wamefunga barabara ya Kawawa. Wanachoma...
View ArticleMKURUGENZI TAA AFARIKI DUNIA.
Mkurugenzi wa mamlaka ya ndege nchini TAA mhandisi Suleiman Said amefariki dunia leo asubuhi katika eneo la Kigamboni.
View ArticleMADEREVA WA PIKIPIKI WAGONGANA NA KUKIMBIZWA KATIKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA...
Askari wakiwahoji waendesha pikipiki (wa pili na watatu kulia) waliogongana katika Barabara ya Morocco eneo la Bonde la Mkwajuni, Dar es Salaam. Nawote wamekimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala na...
View ArticleVITUO VYA REDIO NA TELEVISHENI VYAKWEPA RUNGU LA TCRA.
Baadhi ya vituo vya redio na Televisheni vilivyokuwa hatarini kufungiwa vimeepuka adhabu hiyo baada ya kulipa madeni.
View ArticleTINGATINGA LIKISAWAZISHA BONDE LA MKWAJUNI YALIPOKUWA MAKAZI YA WATU CHINI YA...
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa, Mtaa wa Ananasifu, Deogratias Mogela akizungumza na waandishi wa Habari (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Moja ya banda lililochomwa moto na kudaiwa kuokolewa mtoto Braiton...
View ArticleHADI SASA WATU 100 WAMENUFAIKA NA AIRTEL MKWANJIKA.
Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akikabidhi shilingi 790,000 bw, kwa Elias Makani mshindi wa Airtel Mkwanjika ikiwa ni zawadi yake aliyojizolea katika boxi la Airtel Mkwanjika mkoani Dodoma...
View ArticleMWANAMUME ASHTAKIWA PICHA ZA WHATSAPP KENYA
Miili ya Kwanza ya wanajeshi waliouawa Somalia iliwasiki Nairobi Jumatatu.Mwanamume mmoja nchini Kenya ameshtakiwa kusambaza picha alizodai ni za wanajeshi wa Kenya waliouawa nchini Somalia akitumia...
View ArticleMWILI WA MBUNGE LETICIA NYERERE WAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MAZISHI YAKE...
Askari wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Leticia Nyerere aliyefariki nchini Marekani alikokuwa akitibiwa mara baada ya kuwasili Uwanja wa...
View ArticleMUUJIZA WA KUPANDIKIZWA KWA UBOHO (BONE MARROW) ULIVYOBADILISHA MAISHA
The founder and Chairman of Apollo Hospitals Dr. Prathap .C. Reddy.Mara nyingi watu kutoka nchi zilizoendelea waishio na tatizo la damu na upungufu wa kinga mwilini huishi, tofauti na nchi...
View ArticlePOLISI DAR WAVURUGA MTANDAO WA BIASHARA DAWA ZA KULEVYA
Polisi kanda maalum Dar es Salaam yavuruga mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya baada ya kuwanasa vinara wawili wa biashara hiyo.
View ArticleASKARI POLISI ALIYEKEJELI PASPORT YA LIONEL MESSI KUPITIA SNAPCHAT AFIKISHWA...
Askari Polisi aliye mkejeli Lionel Messi kupitia Snapchat video hiyo akiwa na passport halisi ya Messi na kuigiza kwenye video hiyo akiuliza watazanaji "Je! Niichome hii passport ya Messi au...
View ArticleWABUNGE CCM WAMGEUKIA MAGUFULI:- MAGAZETI JAN 20 STAR TV.
Ekari 3000 zaleta kizaazaa Kigamboni. Serikali ya tano yajipanga kupambana na mdudu rushwa, Wenye shule binafsi waibana NECTA.
View ArticleDAKTARI FEKI ANASWA HOSPITALI YA MKOA WA MWANZA.
Daktari feki kakamatwa mchana kweupeeee Hospitali ya mkoa wa Mwanza Sekeutoure..... jamaa amekuwa hospitalini hapo kimtindo akipiga mzigo zaidi ya mwezi mzima, huku akitoa huduma zake feki za uigizaji...
View ArticleSIZONJE - NEW SONG 2016 MRISHO MPOTO
Pata nafasi kuusikiliza hapa (PUNDE TRACK UTAWEZA KUISIKILIZA HAPA HIVYO ITAWAJIA HIVI PUNDE)
View ArticleRADI YAUWA WAWILI KATAVI.
Radi yauwa wawili na kujeruhi watatu Katavi waliokuwa wakijihifadhi chini ya mti kutokana na mvua kubwa zinazonyesha wilayani humo.
View Article