$ 0 0 Radi yauwa wawili na kujeruhi watatu Katavi waliokuwa wakijihifadhi chini ya mti kutokana na mvua kubwa zinazonyesha wilayani humo.