Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

HAYA NDIYO YALIYOJIRI LEO BUNGENI DODOMA.

$
0
0
Mhe. Luhaga Mpina atoa tathmini juu ya mazingira sambamba na kudidimia kwa ardhi katika makazi ya watu.
Je serikali inatumia vigezo gani kupeleka watumishi wasio na sifa katika zahanati na vituo vya Afya? Haya hapa majibu toka kwa Mhe. Jafo.

Kazi ya vikosi vya ulinzi na usalama ni kulinda raia na mali zao, je ni hatua zipi ninazochukuliwa kwa askari watovu wa nidhamu?

Je serikali ina mpango gani wa kununua mashine mpya ya CT Scan kwa ajili ya Hospitali ya taifa ya Muhimbili? Kigwangala ajibu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>