Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live

SHEIKH PONDA APINGA MARUDIO YA UCHAGUZI ZANZIBAR.

Taasisi na jumuiya za kiislamu nchini zapinga marudio ya uchaguzi visiwani Zanzibar huku zikitaka CUF NA CCM kukaa pamoja na kutafuta suluhu juu ya mkawamo huo wa kisiasa.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABONDIA MADA MAUGO NA ABDALLAH PAZI KUONESHANA UBABE UWANJA WA NDANI WA...

Mabondia Mada Maugo kushoto na Abdallah Pazi wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga siku ya sikukuu ya pasaka katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam katikati ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FOS YATOA RIPOTI YA UTAFITI WA USHIRIKISHWAJI WA WANAWAKE KATIKA UCHAGUZI...

Meneja wa Mradi wa kitengo cha haki Jinsia kutoka Oxfam Bi. Rishida shariff akielezea kwa kina namna walivyofanya mradi wa Fahamu Ongea Sikilizwa  Mtafiti mkuu wa kuhusiana na ushiriki wa wanawake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA UDALALI YAVUNJA NYUMBA SHEKILANGO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Kijiko cha Kampuni ya Udalali ya Mem Auctioneers and General Brokers Ltd kikibomoa nyumba za makazi ya watu na biashara zilizojengwa katika eneo la Kampuni ya Dar es Salaam Cold Makers Ltd lililopo...

View Article

HAYA NDIYO YALIYOJIRI LEO BUNGENI DODOMA.

Mhe. Luhaga Mpina atoa tathmini juu ya mazingira sambamba na kudidimia kwa ardhi katika makazi ya watu.Je serikali inatumia vigezo gani kupeleka watumishi wasio na sifa katika zahanati na vituo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DYNA NDANI YA HIT ZONE YA JEMBE FM 93.7 MWANZA.

View Article

HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI SIKU YA SHERIA FEBRUARY 4, 2016

View Article

Rais Magufuli Aagiza Mahakama Ya Kazi Ianze Kazi Haraka

Rais John Magufuli aagiza kuanzishwan kwa mahakama ya mafisadi haraka ili kupambana na mafisadi wa mali za umma.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGINE WANNE MBARONI KWA KUMDHALILISHA MTANZANIA, INDIA.

Washukiwa zaidi wamekamatwa na maafisa wa polisi nchini India kuhusiana na kisa ambapo mwanafunzi Mtanzania alipigwa na kuvuliwa nguo mjini Bangalore.Washukiwa wengine wanne wamekamatwa na kufikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFISA UHAMIAJI MKOA WA DAR ES SALAAM AKAMATWA KWA RUSHWA.

 Mkuu wa TAKUKURU (M) Ilala,S.L.P 6420, KinondoniSimu : (022)2861088 Nukushi 2150047Barua pepe: rbcilala@pccb.go.tzWavuti www.pccb.go.tzOfisi ya TAKUKURU Mkoa wa Ilala imemkamata afisa wa ofisi ya...

View Article

MATUKIO YALIYOJIRI LEO BUNGENI.

Miradi Ya MajiMhe. Suleiman Jafo atoa ufafanuzi juu ya miradi ya maji nchini iliyofadhiliwa na serikali ili kuondoa adha ya maji kwa wananchi.Mbunge wa Momba Mhe. Ernest Silinde ahoji serikali juu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWATEMBELEA WAHADZABE NA...

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukikatisha misitu na mabonde wakati ukielekea kata ya Mwangeza kijiji cha Kibampa ambako jamii hiyo inaishi.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...

View Article

RAIS MAGUFULI ATANGAZA VITA MPYA KWA WAFANYABIASHARA.

Rais Magufuli atangaza vita mpya kwa waliomilikishwa mashamba na viwanda huku akidai hatamuonea mtu haya bila kujali chama chake.Imeelezwa kwamba licha ya serikali kuendelea kutoa kipaumbele katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JPM HANA MAMLAKA UCHAGUZI ZANZIBAR: MWANASHERIA MKUU.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amesema Rais John Magufuli hana mamlaka ya kikatiba ya kuingilia masuala ya Zanzibar ukiwamo uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20.Hii ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA PASAKA MWAKA HUU KUFANYIKA MACHI 28 WILAYANI KAHAMA

Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani), jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Tamasha la Pasaka litakalofanyika  Mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIYO KAMPUNI ILIYONUNUA TIKETI ZOTE ZA MICHUANO ZANZIBAR.

Makamu Mwenyekiti wa Balraza la Michezo Zanzibar BMZ  akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha kwa timu za JKU na Mafunzo za mchezo wao wa Kombe la CAF inayotarajiwa kufanyika katika Uwanja...

View Article

MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM

Rais mstaafu Jakaya Kikwete aipongeza serikali ya awamu ya 5 kwa kutekeleza ilani ya CCM ndani ya siku chache za utawala wa rais Magufuli.Rais Magufuli ameeleza kuwa serikali yake imedhamiria kufanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MAKONDA ATOA SIKU 20 WENYEVITI WOTE WA SERIKALI ZA MITAA KINONDONI JIJINI...

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza na Watendaji na Viongozi wa Serikali za Mitaa wa wilaya hiyo kwenye mkutano uliofanyika Dar es Salaam leo kuhusu jinsi ya kutatua na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHABA WA DAMU BADO NI CHANGAMOTO KWA TAIFA.

Prof Paschalis Lugarabamu ambaye ni mlezi wa wanafunzi waliosoma Chuo cha Kairuki Kanda ya Ziwa akichangia damu salama katika uwanja wa Babtist jijini Mwanza, kushoto kwake ni Lukas Mitego ambaye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN CITY YACHAPWA 3-1 NA LEICESTER CITY

Viongozi wa ligi ya Uingereza Leicester wamewashangaza wapinzani wao wa karibu katika ligi hiyo Manchester City baada ya kuwacharaza 3-1 katika uwanja wa Etihad na hivyobasi kupanda juu wakiwacha pengo...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>