![]() |
Chadema wameamua kuzunguka nchi nzima kwa lengo la kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na kutoa ufafanuzi wa maana ya Katiba na kujibu hoja za wananchi. |
![]() |
Wakishuka kuelekea jukwaani.. |
![]() |
Ni mikono kuonyesha idadi ya watu ambao hawajapata fursa ya kushiriki kuchangia mapendekezo ya rasimu ya katiba. |
![]() |
Red Brigade mkutanoni. |
![]() |
Red brigade wakimzuia jamaa ambaye alikuwa akitaka kumfikia Mbowe huku akiwa na mabango yake wakihofia kuwa katumwa na watu wasiojulikana. |
![]() |
"Nataka nifike jukwaani..!!" Ilisikika sauti ya jamaa huyo. |
![]() |
Ilibidi nguvu zaidi iongezwe kutokana na jamaa huyo kung'ang'ania kufika jukwaani ili atimize azma yake. |
![]() |
Mbowe aliwasihi walinzi hao kumwachia, naye hatua kwa hatua akaelekea jukwaani akiwa amebeba mabango yake, mfukono akiwa amebeba vitu vizito. |
![]() |
Bango la Kwanza linamaanisha: 'Ona Chadema karibu mweshimiwa mkombozi wa haki zetu Mwanza, No Matata.' |
![]() |
Bango la pili lasema 'Hatumtaki Matata, Shashi No Matata...' |
![]() |
Mmenusurika Bukoba...!! Ndiyo ujumbe uliochomoza... |
![]() |
Acha wapigwe tu!! Ndiyo ujumbe uliochomoza... |