MAJAMBAZI MATATU YAUAWA MWANZA
STORI NZIMAJeshi la Polisi jijini Mwanza limefanikiwa kuwauwa majambazi watatu kwa kuwapiga risasi wakati walipotaka kuvamia kituo cha mafuta cha GBP kilichopo barabara ya Kenyata jijini...
View ArticleBFT KUKABIDHI VIFAA KWA TIMU YA TAIFA YA NGUMI KWA MAANDALIZI YA MASHINDANO...
Thursday, August 15, 2013Taarifa kwa vyombo vya habariYah:- Kukabidhiwa vifaa vya mazoezi na nauli wachezaji wa timu ya taifa yangumi.Mkurugenzi wa St. Merry School  na New Palm Hotel iliyopo Bagamoyo,...
View ArticleDIWANI CHADEMA APONGEZA KAZI ZA MAENDELEO ZINAZOFANYWA NA MBUNGE WA CCM
Mbunge wa Jimbo la Rorya Lameck Airo akikagua baadhi ya majengo katika ziara yake ya kuangalia shughuli mbalimbali za maendeleo jimboni kwake..Mbunge wa Jimbo la Rorya Lameck Airo (wa tatu kutoka...
View ArticleVITU FLANI HIVI KUTOKA MWANZA KUELEKEA UKEREWE NAYO SAFARI NDIYO IMEANZA
Safari inaanza kutoka jijini Mwanza katika mwalo wa Kirumba ndani ya ziwa Victoria kuelekea kisiwa cha Ukerewe.Taswira ya baadhi ya maeneo kandokando ya ziwa Victoria kwa mbaaaaaali milimani juu ni...
View ArticleASILIMIA 80% YA WANANCHI MKOA WA MWANZA WANA MINYOO: MKUTANO WA KUHAMASISHA...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akifunguwa Mkutano wa Semina elekezi kuhusu zoezi la ugawaji wa dawa tiba na kinga kwa magonjwa yaliyosahaulika kama minyoo ya tumbo,kichocho, trakoma, na usubi...
View ArticleMKAZI WA BUHEMBA ANASWA NA VIPANDE 10 VYA MENO YA TEMBO VYA THAMANI YA...
 MKAZI wa Kijiji cha Buhemba Wilaya ya Butiama Mkoani Mara Yohana Jackison (27) amekamatwa na Askari Polisi wa dolia akiwa na vipande 10 vya meno ya Tembo vyenye thamani ya zaidi shilingi milioni 23.2...
View ArticleMKUTANO WA CHADEMA WA KUJADILI YA RASIMU YA KATIBA JINSI ULIVYOKUWA JIJINI...
Helikopta iliyowabeba viongozi wa CHADEMA ikiwa angani tayari kushuka kwaajili ya kuwahutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Magomeni kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano wa...
View ArticleWANAOTUKANA KWENYE SIMU KUKIONA: TIGO YABORESHA HUDUMA ZAKE MWANZA
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tawi la Tigo Mwanza lililopo barabara ya stesheni ambapo tawi hilo lilifungwa kwa muda kupisha ukarabati mkubwa kuendana...
View ArticleWAKAZI WA KIGOMA WALIPOKEA KWA KISHINDO TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
 Burudani ya kutosha kabisaMsanii wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2013,usiku huu kwenu uwanja wa Lake Tanganyika.Sehemu ya umati wa watu...
View ArticleKONYAGI YAWAPIGA MSASA WAHARIRI JUU YA KUTHAMINI BIDHAA ZA NDANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa (kushoto), akieleza mafanikio ya TDL ikiwa ni pamoja jinsi inavyolipa kodi serikalini ambapo kwa mwezi...
View ArticleSAFARI YA UKEREWE PART TWO..
Zana za kale katika uwindaji na ulinzi.Vitanda na mlango wa nyumba za kale za watu kabila la wakerewe.Ni vitanda vya aina mbili cha kwanza cha kamba za kusuka na cha pili kitanda cha ngozi.Mtumbwi wa...
View ArticleMAANDAMO KUMNG'OA MEYA KUFANYIKA ASUBUHI HII MWANZA
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akinyanyua bango linalosomeka: 'Ona Chadema karibu mweshimiwa mkombozi wa haki zetu Mwanza', 'NO Matata' (akimaanisha kukataliwa kwa Meya Henry Matata wawilaya...
View ArticleTAMASHA LA KILI MUSIC TOUR 2013 JIJINI MWANZA
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Fleva),Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwajibika jukwaani sambamba na madansa wake wakati wa Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika...
View ArticleMWAKILISHI WA Big Brother The Chase Feza Kessy akaribisha kwa kishindo...
Msanii maarufu nchini, Lady Jay dee maarufu kama Komando akitumbuiza na bendi yake ya machozi bendi katika hafla ya kumkaribisha aliyekuwa mwakilishi wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza...
View ArticleMAANDAMANO YA CHADEMA KUMNG'OA MEYA ILEMELA JIJINI MWANZA YAISHA KWA MABOMU
MAANDAMANO ya amani yaliyokuwa yameandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) yamegeuka shubiri kwa wakazi wa jiji la Mwanza baada ya kuibuka mapambano makali baina ya waandamanaji hao na...
View ArticleAIRTEL MONEY, HAKATWI MTU KUINGIA MTAANI KWA KISHINDO
Airtel money, Hakatwi Mtu kuingia mtaani kwa kishindoWafanyakazi wa Airtel wanategemea  kuiingiza rasmi promosheni ya Airtel money, Hakatwi mtu hapa kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam...
View ArticleMASHINANO YA NGUMI YASOGEZWA MBELE
                              Tuesday, August 13, 2013TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
View Article