Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI EAST BOYZ MWBINGWA U15 NAO ALLIANCE ACADEMY MABINGWA WA U17 KOMBE LA...

Mwenyekiti wa Chama Cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA) Jackson Songora akimkabidhi kombe la Ubingwa wa U17 mchezaji wa Alliance Academy Hadji Vemba mara baada ya timu hiyo kuibamiza timu ya Spares kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI HAPA VIFAA VIPYA VYA SIMBA SPORTS CLUB

Wachezaji wapya wa Simba kutoka kushoto, Hamisi Tambwe, Jacky Fish, Kaze Gribert, na mtaalamu Meddy.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAIPOKEA KWA KISHINDO HUDUMA YA AIRTEL MONEY MITAANI.

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel  Bw Sunil Colaso akiwashukuru watanzania kwa kutumia huduma za Airtel  wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea sokoni na kupeleka kwa watanzania promosheni ya Airtel money...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATARI YA MAGONJWA AMBUKIZI KWA UCHAFU VYOO SHULE YA MSINGI NYANZA MKUU WA...

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikiro akimnywesha dawa za kukinga na kuzuia maambukizi ya magonjwa ya Kichocho na Minyoo ya tumbo mmoja kati ya wanafunzi wa shule ya msingi Nyanza ya jijini Mwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAMZUIA WENJE KUSAFIRI

Polisi mkoani Mwanza imemzuia Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje, kusafiri wiki hii hadi atakapofikishwa mahakamani kwa makosa ya uchochezi na kuandamana bila kibali.Akizungumza mjini hapa, Wenje...

View Article


VIDEO MPYA YA T NOCK NIONYESHE NJIA YATOKA RASMI

Directed by Kenny Ukiyz (Aprilmey videos), Produced by Dr.Eddo(Zoo Records), Shot in Mwanza - 'Rock city'

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NITAMSHANGILIA FRANCIS CHEKA KWENYE MPAMBANO WA UBINGWA WA DUNIA

Na Onesmo Ngowi, Rais wa IBF/AfricaKatikati ya miaka ya 90, nchi ya Tanzania ilipata bahati ya kuwa na bingwa wa ngumi wa dunia ambaye alitambuliwa na Umoja wa Ngumi wa Dunia (WBU), Rashid Matumla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHINDI WA NYUMBA WA AIRTEL YATOSHA ATEMBELEA NYUMBA YAKE

Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya akikata utepe na familia ya Mshindi wa nyumba wa promosheni ya Airtel yatosha shinda nyumba  bwana Silvanus Juma (wa kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWANGA PEPETA, ROMA MKATOLIKI KUPAMBA TAMASHA LA WAFANYA MAZOEZI LA VITA MALT...

Twanga Pepeta,Roma Mkatoliki kupamba Tamasha la wafanya mazoezi la Vita Malt kesho.Na Mwandishi WetuKATIKA kuhakikisha Watanzania wanakuwa na afya bora, kinywaji kisicho na kilevi cha Vita Malt,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI WA MIRADI WILAYA YA NYAMAGANA WABAINI DARAJA LILILO MWONDOA MARSHA,...

 VUTA SUBIRA MDAU TAARIFA ZA PICHA ZAJA 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIONEE YALIYOJIRI NDANI YA KUSANYIKO LA FURSA MKOA WA TABORA...!!

Mghani mahiri wa mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto akizungumza kwa msisitizo,masuala ya fursa mbalimbali zinazopatikana katika suala zima la ujasiliamali mapema leo kwenye semina ya Fursa iliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMVUA UANACHAMA MEYA MATATA - CHADEMA YAANGUKA CHALI MAHAKAMANI, PINGAMIZI...

Meya Henry Matata (katikati) wakati akiendesha moja kati ya vikao vya Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Ilemela, kulia ni Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Zuberi Mbyana na kushoto ni Naibu Meya Dede Swila....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIJI LA MWANZA LIMEPIGA MARUFUKU KUPANGA BIDHAA NJE YA MADUKA

Mkurugenzi wa jiji la Mwanza Alifa Hassan Hida (kushoto) akitoa tamko kwa waandishi wa Habari wengine wanaoonekana katika picha ni baadhi ya wadau wa kikosi kazi cha kutekeleza mpango kazi wa kuwapanga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUHUDIA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI TABORA

Msanii machachari wa muziki wa bongofleva/filamu Shilole akiimba huku akiwa amebebwa na shabiki wake,huku shangwe na miluzi za mashabiki zikiwa zimetawala kila kona.Baadhi ya mashabiki waliojitokeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WAFUNGUA KLABU YA MCHEZO WA BAO MTAA WA KASULU ILALA

Wachezaji wa Mchezo wa bao wakicheza wakati wa mazoezi ya mchezo huo yaliyofanyika katika klabu yao iliyopo Mtaa wa Kasuru Ilala Dar es salaam jana kushoto ni Salha Wailes na Halima Kaubanika.Wachezaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA GURUMO BAADA YA KUSTAAFU MUZIKI

Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARAKATI ZA KUMPATA STR8MUZIK FREESTYLE NA DJ MKALI MWANZA ZILIVYOKUWA NDANI...

Frendz wakishow love kwa flash ya blogu hii.Mashabiki wakitinga ndani ya Villa Park Mwanza kumshuhudia kinyang'anyiro cha kumsaka mkali wa kuchana na dj mkali MwanzaHapa ndani kulikuwa na vinogesho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ILIVYOKUWA SEMINA YA FURSA KWA VIJANA MKOANI SINGIDA

Mwakilishi wa Shiriki la NSSF kutoka Makao Makuu jijini Dar,Bwa.Salim Khalfan akielezea fursa mbalimbali zinazopatikana kwa mtu yeyote anayejiunga na shirika la NSSF,alifafanua hayo leo kwenye ukumbi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENGETI FIESTA 2013 NDANI YA SINGIDA USIKU WA KUAMKIA LEO.

 Msanii Muigizaji wa filamu na muziki wa bongofleva,Shilole pichani shoto akiimba mbele ya maelfu ya wakazi wa Singida waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,ndani ya Singida...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AWEKA MALENGO KWA HALMASHAURI YAKE KUKUSANYA ZAIDI YA BILIONI MBILI...

Bw. John Kadutu (JK) amabaye pia ni diwani wa kata ya Ichemba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akizungumza na waandishi wa habari juu ya fursa za uwekezaji zilizopo katika Halmashauri ya wilaya mpya...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live