Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

MSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA GURUMO BAADA YA KUSTAAFU MUZIKI

$
0
0
Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Shabani Dede.

Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Mustafa Pishuu
.
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu 

Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu pamoja na Mustafa Pishuu 

Ni ufundi juu ya ufundi.
Wasanii Hamisi Mnyupe kushoto na Romani Mng'ande wakiwajibika jukwaani. www.burudan.blogspot.com


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>