Mkurugenzi wa Masoko wa TDL, Joseph Chibehe 9kulia) akielezea mbele ya wahariri, historia ya kinywaji cha Konyagi. |
Baadhi ya wahari walioalikwa kwenye semina hiyo, wakisikiliza kwa makini wakati Chibehe aielezea historia ya TDL. |
Seheumu ya wahariri wa vyombo vya habari waliohudhuria semina hiyo |
Baadhi ya wahari walioalikwa kwenye semina hiyo, wakisikiliza kwa makini wakati Chibehe aielezea historia ya TDL. |
Baadhi ya wahariri na wanahabari wakiwa katika semina hiyo iliyoandaliwa na TDL. |
Baadhi ya wahariri na wanahabari wakiwa katika semina hiyo iliyoandaliwa na TDL. |
Mgeni rasmi, Mussa Zungu 9katikati waliokaa) akiwa na MD wa TDL , Mgwassa, Mkurugenzi wa Masoko, Chibehe katika picha ya pamoja na wahariri wa vyombo vya habari nchini. |
MD wa TDL, Mgwassa (katikati) akimuaga Mussa Zungu. Kulia ni Chibehe. |
Baadhi ya wahariri walioalikwa kwenye semina hiyo, wakisikiliza kwa makini wakati Chibehe aielezea historia ya TDL. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG |