SAFARI BIKE RACE2013 KUFANYIKA KESHO SHINYANGA
SAFARI BIKE RACE 2013 KUFANYIKA KESHO MKOANI SHINYANGAMashindano ya mbio za Baiskeli kwa Kanda ya Ziwa yajulikanayo kama “Safari Lager Bike Race 2013” yanatarajiwa kufanyika kesho hapa Mkoani...
View ArticleMAJONZI:- MFANYABIASHARA WA MADINI ARUSHA AUAWA KWA KUPIGWA NA RISASI
Mwili wa Erasto Msuya na mmiliki wa SG HOTEL mkoani Arusha mara baada ya kupigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo. Askari wakichunguza tukio la kupigwa kwa risasi kwa mfanya...
View ArticleLEO NDIYO LEO NDANI YA DAR LIVE....!!!
Dr Madono akimpima Francis Miyeyusho huku Ibrahim Kamwe `Bigright`akishuhudia upimaji huo tayari kwa pambano lake na Mzambia Fidelis Lipupa utakao fanyika leo Dar Live. FIDELIS LIPUPA wa Zambia na...
View ArticleMWANZA YAONGOZA MBIO ZA BAISKELI ZA SAFARI LAGER KANDA YA ZIWA ZILIZOFANYIKA...
Akinamama wakiwa tayari kuanza mbio zilizotia fora kuzunguka uwanja mara 10 wakiendesha baiskeli na ndoo za majikichwani.Wanaume wakijipinda katika mbio za baiskeli kilometa 210 chini ya Udhamini wa...
View ArticleFBME WASABABISHA TABASAMU KWA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA AL...
Meneja wa tawi la FBME Bank Mwanza Ndugu Joseph Gwalugano (kulia) akimkabidhi Imam Abeid Musa Mafuta ya kupikia kwenye hafla fupi iliyofanyika katika msikiti wa Al Masjid Ibrahim Butimba Mwanza.Jumanne...
View ArticleBONDIA FRANCIS MIYEYUSHO AKKALISHA MZAMBIA KWA K,O RAUNDI YA 8
Bondia Mtanzania Francis Miyeyusho kulia akipambana na Fidelis Lupupa wa Zambia wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika wakati wa Sikuku ya Iddi katika ukumbi wa Dar Live Mbagara...
View ArticleBENDI YA MSONDO NGOMA ILIVYO PAGAWISHI WAPENZI WAKE SIKUKUU YA IDDI
Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa onesho lao la Iddi lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam kushoto ni Eddo Sanga na Hasani Moshi.Tumba, bass na solo...
View ArticleWALIO MWAGIWA TINDIKALI ZENJI WAENDA UINGEREZA
Raia wawili wa Uingereza, Katie Gee (18) na Kirstie Trup (18) waliomwagiwa tindikali visiwani Zanzibar juzi na kulazwa Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam, wamesafirishwa kwenda kwao kwa...
View ArticleCLIMAX Final Release (short-film)
Climax is a short film that focuses on choices we are making and illustrates a life drama dilemma of a couple that found themselves struggling to survive.After husband lost his job and failed to...
View ArticleDADA DINACARES YALA CHAKULA CHA MCHANA NA WATOTO YATIMA AZULA BEACH KAWE...
Mratibu wa hafla hiyo,Dina Marios kutoka Dada Dina Cares (pichani Mbele),akiwa sambamba na baadhi ya Wadau waliojitokeza kuifanikisha hafla hiyo ya chakula cha mchana na watoto Yatima kutoka vituo...
View ArticleVIELELEZO VYA HISTORIA KANISA LA RC KAWEKAMO NI UATALII TOSHA
Kibao elekezi lango kuu la kanisa.Historia ukutani.Jengo la kanisa.Mnara utakao kukaribisha toka mbali.Ibada.
View ArticleCHEKI JIMMY MASTER NA HEKA HEKA ZA UJIO MPYA WA DOUBLE J FINAL
YULE muongozaji na mwigizaji Jimmy Mponda 'Jimmy Master' aliyetikisa na mfululizo wa filamu za misuko iliyotoka sehemu ya kwanza hadi yatatu na baadaye kujiongezea jina lingine akiitwa J Plus.Jimmy...
View ArticleWATOTO WANNE WA FAMILIA MOJA WAFARIKI DUNIA BAADA YA KULA CHAKULA CHENYE SUMU
Na Nathan Mtega,NamtumboWATOTO wanne wa familia moja wa kijiji cha Ligunga kata ya Lusewa tarafa ya Sasawala wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wamefariki dunia na wengine 12 wamelazwa katika Hospitali...
View ArticleTANROAD YAPANIA KUONDOA KERO YA MSONGAMANO WA MAGARI JIJINI MWANZA
Meneja wa TANROAD mkoa wa Mwanza Mhandisi Leonard Kadashi akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujenzi unaoendelea wa moja ya madaraja na hapa ilikuwa ni katika eneo la daraja la Mabatini jijini...
View ArticleZUNGUMZA KIINGEREZA FASAHA KUPITIA ENGLISH CLUB MWANZA
Mr. English akitoa maelezo juu ya wadau mbalimbali waliobahatika kupita kwenye kituo chake huku picha zao zikiwa kwenye bandiko, kituo kinapatikana kituo cha daladala cha Kliniki, barabara ya Makongoro...
View ArticleMASHINDANO YA MIJADALA YA SHULE ZA SEKONDARI MWANZA KUANZA SEPT. 2.
Mkurugenzi wa Stopper Entertainment, Mukhsin Mambo, akitoa mafunzo kwa walimu wa Shule za Sekondari za Mkoa wa Mwanza kuhusiana na Mashindano ya Shule za Sekondari(Interschools Debate Compatations),...
View Article