Aliyekuwa mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy akisalimiana na mashabiki wake waliojitokeza katika halfa ya kumkaribisha nyumbani iliyofanyika Nyumbani lounge |
Msanii maarufu wa kundi la Machozi Band, Lady Jay dee aliyesimama pembeni akimtambulisha kwa washibiki wake Aliyekuwa mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy |