$ 0 0 Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tan Sang amewasili nchini jana usiku kuanza ziara yake ya kiserikali huku akilakiwa na waziri mkuu Kassim Majaliwa.