![]() |
Safu ya meza kuu ikiongozwa na Mkurugenzi wa Alliance School James Bwire (kulia waliovaa majoho) na mgeni rasmi ambaye ni Afisa ugavi wa mkoa wa Mwanza Patrick Kigire. |
![]() |
Safu ya meza kuu. |
![]() |
Jumla ya wanafunzi ....wamehitimu kidato cha nne kwa mwaka huu 2013. |
![]() |
Safu nyingine ya wahitimu. |
![]() |
Safu ya meza kuu ikiwakaribisha wahitimu kwenye kusanyiko la Maafali viwanja vya Alliance Mwanza. |
![]() |
Hongera wa kwanza wa kidato cha nne wahitimu. |
![]() |
Burudani iliyotia fora toka kwa wanafunzi. |
![]() |
Kwata la burudani.... |
![]() |
Wahitimu wa kidato cha nne Alliance wasichana wakielekeza macho kwenye tukio. |