JUMA NATURE - DOGO (Official Video)
Artist : Juma NatureSong : DogoDirected By Mike Tee Under ShowBiz Defined Artist Management
View ArticleJESHI LA POLISI LAKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU MAFUNZO ULINZI SHIRIKISHI WILAYA...
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai mkoa wa Mwanza Joseph Konyo akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo ya vijana 85 wa polisi jamii iliyofanyika katika uwanja wa Magomeni tarafa ya Ilemela...
View ArticleALLIANCE YAFANYA MAAFALI YAKE YA KWANZA KIDATO CHA NNE IKIWA NA MAFANIKIO...
Afisa ugavi wa mkoa wa Mwanza Patrick Kigire ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi akimwakilisha mkuu wa mkoa wa Mwanza, akihutubia katika maafali ya kwanza ya Alliance Academy yaliyofanyika jana kwenye...
View ArticleTBL YASHEREHEKEA MIAKA 20 YA UBIA NA WASAUZ NA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA...
Hizi ni shange za sherehe za miaka 20 ya ubia kati ya kampuni ya bia nchini Tanzania Breweries Limited (TBL) na Kampuni ya SB Miller pamoja na miaka 20 ya tangu kuanzishwa kwa kiwanda cha bia TBL...
View ArticleNGOMA IKIKATAA IMEKULA KWAKE.
"Sawa pesa zinatafutwa lakini ngoma ikikataa imekula kwake"
View ArticleMBWEMBWE ZA UKEREWE NA MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI ZA BALIMI.
KUNDI la wapiga kasia Wanaume (pichani juu) lililo ongozwa na nahodha Totoji Mazinge Ngoroma kutoka wilayani Ukerewe limetwaa ubingwa wa mashindano ya mbio za Mitumbwi zinazo dhaminiwa na Kampuni ya...
View ArticleTAARIFA YA TUKIO LA MAUAJI YA MFANYABIASHARA WA MWANZA ALIYEUA NA KUJIUA LEO...
Damu eneo la tukio. PICHA kwa hisani ya Global Publisher.Mfanyabiashara wa jijini Mwanza, aliyefahamika kwa jina la Gabriel Munisi amefanya mauaji kwa watu wawili na kujeruhi mmoja kisha kujiua kwa...
View ArticleGHANA YAFAULU SAFARI YA BRAZIL 2014
KWA UFUPI.Kipindi cha kwanza Misri 1-0 Ghana (2-6 agg)Hadi mwisho Misri 2-1 Ghana (3-7 agg)Ghana wanunua tiketi kuelekea nchini Brazil mwakani kushiriki Kombe la dunia.
View ArticleJAHAZI WALIVYO WARAMBISHA ASALI WAKAZI WA ROCK CITY.
Mzee Yusuph jukwaani akisemanao ndani ya Villa Park....!Voxx za Jahazi Modern Taarab ndani ya Villa Park Usiku wa Mwambao.Nakshi za colour.Sololist tegemeo.Brothers in the house.Peace.Mfalme Mzee...
View ArticlePPF KUYAFIKISHA MAHAKAMANI BAADHI YA MAKAMPUNI YA ULINZI.
MFUKO wa Pesheni wa PPF Kanda ya Ziwa imeyaonya baadhi ya Makampuni mbalimbali yakiwemo ya Ulinzi kwa tabia na mazoea ya kuwaandikisha wafanyakazi wao na kushindwa kuwasilisha michango yao hali...
View ArticleMANCHESTER UNITED YAJIUNGA NA AIRTEL KUZINDUA PROMOSHENI YA MIMI NI BINGWA
Mkurugenzi wa Airtel Tanzania, Bw. Sunil Colaso (wa pili kutoka kushoto) akiwa pamoja na Meneja Uhusiano wa Timu ya Manchester United, Bw. Michael Higham (wa kwanza kushoto). Kutoka kulia ni...
View ArticleHII NI YA SHARO MILLIONEA.
Hiki ni kipande kifupi ambacho kipo kwenye movie mpya aliyocheza marehemu Sharo Millionea na swahiba yake Kitale. Ukiangalia scene hii utaona marehemu alikuwa anaendesha gari speed ambapo alikuwa...
View ArticleSPACE AVAILABLE AT GEPF HOUSE
GEPF HOUSEBuilding along Ally Hassan Mwinyi Road conveniently located at Victoria with a ten minute drive to city centre during low traffic time.Space available for leasingGround floor for Bank and...
View ArticleP-SQUARE WATINGA BONGO.
Wanamuziki wa kundi la P- Square Peter na Paul Okoye wakisalimiana na Mtangazaji wa kiruo cha Televisheni cha EATV, mapema baada ya kuwasili jana katika Uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Nyerer e jijini...
View ArticleTAMPERE WAKABIDHI GARI LA ZIMAMOTO KWA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA.
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akihutubia wananchi na wageni waliofika katika viwanja vya Ghand Hall, kushuhudia makabidhiano ya msaada wa gari la Zimamoto yaliyofanywa na jiji...
View ArticleWASHINDI WA CLEAN HOUSE WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO TOKA COLGATE PAMOLIVE
Valarie Urio wa Dar es Salaam, anapokea jiko la Gesi cooker kutoka kwa Bi, Hytham Ahmed wa masoko Ltd kupitia promosheni iliyokuwa ikiendeshwa na Colgate Palmolive. Abeid Semira wa kutoka Mwanza...
View ArticleKAMATI KUU YA CHADEMA YAWAVUA UONGOZI ZITTO KABWE, DR KITILA MKUMBO NA...
Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema imewavua Uongozi Viongozi wake watatu baada ya Kugundua waraka wa Siri uliowahusisha na mpango wa kukipasua Chama vipande vipande. Viongozi...
View Article